Nyoka hadhuru binadamu kama hujamchokoza. Nibrafiki kwa binadamu kwani baadhi ya msosi wake ni panya. Siku nyingind msaidie asepe zake, la ukikamatwa utashitakiwa jwa uharibifu wa maliasili.Siku itafika utakapomuona anaingia ndani mwako na una watoto wadogo halafu wewe umpishe kwenda kuwaita maliasili
Halihitaj kumfunua mdomo.. ponda kichwa chake mdomo utafunguka wenyewNjoo mkuu tusaidiane kumfunua mdomo tumuangalie
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaWadau punguzeni hasira za corona msimalizie kwa viumbe hivi.
Kumponda kichwa tu ilikuwa imetosha.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂R.I.P nyoka..........
Natamani iwe hivyo asiwe na sumu
Hahaa, unahisi wamemtwanga sana wakimix na hasira za Corona.Wadau punguzeni hasira za corona msimalizie kwa viumbe hivi.
Kumponda kichwa tu ilikuwa imetosha.
Baby anacondaKwa nini unasema anakonda?unataka kusema hapati chakula cha kutosha.mi nmeona kama ananenepa.na ana mafuta kinyama.
Hata sisi kikwetu tunamwita MLALWE,hana sumu kali,pia huwa haumi binadamu hovyo.Huku mbeya wanamwita mlalo na wanasema hana sumu.
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk