Hii ni aina gani ya nyoka?

Sibaru

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
47
Reaction score
45
Habari wakuu,

Wale wenye uelewa na wadudu hawa naomba mnisaidie kujua kama aina hii ya nyoka ni ipi na je, wana sumu kali?

Tumekuwa tukipambana nao karibu kila wiki mtaani kwetu hapa Morogoro Mjini na vingine ni virefu vyeusi vyembamba.

 
Kwa mwenokano wa kichwa picha ya pili atakuwa anasumu mkuu...but ngoja wataalamu wakuje
 
Tafadhal tunaomba uripot katika ofis za mali asili kwa kosa la ujangili wa kumuua nyoka Kwan ulitakiwa kutoa taarifa wa watu wa wanyama por waje wamfate kabla ya kumuua
"kingwagwalavoice. Sibaru,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black Mamba mkuu, ana sumu balaa.
Google utaona hiyo kichwa na mpangilio wa magamba
 
Mkuu mtazame macho vizuri kama yana muonekano wa duara kama sarafu basi nyoka huyo ana sumu tazama koboko, cobra wako kundi hili.

Kama ana muonekano wa macho kama karanga huyo hana sumu na jamii hii ni kama chatu vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…