Hii ni aibu

M

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Messages
2,869
Likes
2,068
Points
280
M

MIGNON

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2009
2,869 2,068 280
Sijui kama ni sawa kuliweka jambo hili hapa lakini naamini linagusa siasa na hasa siasa kuingilia vyombo vya utendaji.
Leo asubuhi nimeshuhudiwa kwenye TV bwana mmoja akihukumiwa miaka mitatu kwa kujifanya Afisa mwandamizi wa Usalama wa taifa.Hili halikunistua sana ila nilistuka kusikia kuwa alipata access ya kuingia mpaka kambi ya jeshi na akakirimiwa vilivyo!!!!!!!!!!!Hapo ndipo nilipostuka na ukiangalia ni kuwa Mkuu wa kambi ya jeshi alipata maelekezo kutoka kwa mkuu wa mkoa,AIBU!!!! Tangu lini ???
Ni lazima watu wawajibike kwa hili!!!!
 
kookolikoo

kookolikoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
2,559
Likes
40
Points
145
kookolikoo

kookolikoo

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
2,559 40 145
Tapeli si kishafungwa? Kwa sheria ipi mhanga wa jinai anapaswa kuwajibishwa?
 
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
694
Likes
8
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
694 8 0
Tapeli si kishafungwa? Kwa sheria ipi mhanga wa jinai anapaswa kuwajibishwa?
Anamaanisha huyo mkuu wa mkoa+mkuu wa Kambi na wao wawajibishwe ni uzembe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nyange

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Messages
3,080
Likes
1,013
Points
280
Nyange

Nyange

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2010
3,080 1,013 280
Hiyo ndiyo serikali yenu!! kwani ndo mnazinduka!
 
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,736
Likes
3,342
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,736 3,342 280
Sijui kama ni sawa kuliweka jambo hili hapa lakini naamini linagusa siasa na hasa siasa kuingilia vyombo vya utendaji.
Leo asubuhi nimeshuhudiwa kwenye TV bwana mmoja akihukumiwa miaka mitatu kwa kujifanya Afisa mwandamizi wa Usalama wa taifa.Hili halikunistua sana ila nilistuka kusikia kuwa alipata access ya kuingia mpaka kambi ya jeshi na akakirimiwa vilivyo!!!!!!!!!!!Hapo ndipo nilipostuka na ukiangalia ni kuwa Mkuu wa kambi ya jeshi alipata maelekezo kutoka kwa mkuu wa mkoa,AIBU!!!! Tangu lini ???
Ni lazima watu wawajibike kwa hili!!!!
You have the point there! it is so scary ,huyo nitapeli tu ,vipi akiingia adui wa ukweli si tutakwisha!
 
N

ngonani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Messages
1,371
Likes
202
Points
160
N

ngonani

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2012
1,371 202 160
Hiyo nimeiona na kushtuka mno,tangu lini Mkuu wa Kikosi akapokea maelekezo kutoka kwa mkuu wa mkoa?na Tapeli wa aina hiyo katapeli mpaka mkuu wa upelelezi,RPC ,ni aibu kubwa kuwa waliomshitukia ni waandishi wa habari na sio maafisa upelelezi.Tusipoacha kuchanganya taaluma na siasa kuna siku janga kubwa litatokea.Inabidi mkuu wa mkoa aendelee kuwa mkuu wa mkoa na asiingilie masuala ya jeshi.pia wakuu wa vyombo vya usalama waache kupokea maelekezo ya wanasiasa except Amiri jeshi mkuu.Kwa vile hatujamalizia Rasimu ya Katiba mpya ,naomba yafuatayo yazingatiwe
1.Wakuu wa mikoa na wanasiasa wasihusike kwenye kamati za ulinzi na usalama za mikoa na Wilaya,kama ni lazima sana wawepo basi wawe ex officio au wasikilizaji tu kwani wao sio expert wa masual ya usalama.waje kwa kukaribishwa na isiwe lazima vikao vyote wawepo.
2.Iwe marufuku kwa mkuu wa mkoa au wilaya kumuamrisha mkuu yeyote wa chombo cha usalama kufanya kazi kwa matakwa ya mwanasiasa.Kama mkuu wa mkoa ana ombi basi lipitishwe kwa mkuu wa majeshi au IGP ambao watatoa authorisation ya implementation,na sio mkuu wa mkoa kumuita mkuu wa kikosi cha jeshi au maafisa usalama au polisi na kuwapa amri.
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,902
Likes
10,122
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,902 10,122 280
hao ndo wachumia tumbo wa tanzania!!
 
FAIR PLAY

FAIR PLAY

Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
54
Likes
0
Points
13
FAIR PLAY

FAIR PLAY

Member
Joined Sep 20, 2011
54 0 13
Sijui kama ni sawa kuliweka jambo hili hapa lakini naamini linagusa siasa na hasa siasa kuingilia vyombo vya utendaji.
Leo asubuhi nimeshuhudiwa kwenye TV bwana mmoja akihukumiwa miaka mitatu kwa kujifanya Afisa mwandamizi wa Usalama wa taifa.Hili halikunistua sana ila nilistuka kusikia kuwa alipata access ya kuingia mpaka kambi ya jeshi na akakirimiwa vilivyo!!!!!!!!!!!Hapo ndipo nilipostuka na ukiangalia ni kuwa Mkuu wa kambi ya jeshi alipata maelekezo kutoka kwa mkuu wa mkoa,AIBU!!!! Tangu lini ???
Ni lazima watu wawajibike kwa hili!!!!
Cha aibu zaidi mkuu wa mkoa alipata taarifa za ujio wa huyo mtuhumiwa tapeli kwa njia ya simu tu bila maandishi kama ilivyo taratibu za utendaji wa serikali yetu, nae akatoa mwongozo kwa njia ya cm vilevile.. sasa sijui ndo e government without clarity.? Lazima wa wajibike.
 
Vitaimana

Vitaimana

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
3,554
Likes
819
Points
280
Vitaimana

Vitaimana

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
3,554 819 280
Anamaanisha huyo mkuu wa mkoa+mkuu wa Kambi na wao wawajibishwe ni uzembe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mpaka anaingia guard kamanda alikuwa wapi?
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,502
Likes
225
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,502 225 160
Sijui kama ni sawa kuliweka jambo hili hapa lakini naamini linagusa siasa na hasa siasa kuingilia vyombo vya utendaji.
Leo asubuhi nimeshuhudiwa kwenye TV bwana mmoja akihukumiwa miaka mitatu kwa kujifanya Afisa mwandamizi wa Usalama wa taifa.Hili halikunistua sana ila nilistuka kusikia kuwa alipata access ya kuingia mpaka kambi ya jeshi na akakirimiwa vilivyo!!!!!!!!!!!Hapo ndipo nilipostuka na ukiangalia ni kuwa Mkuu wa kambi ya jeshi alipata maelekezo kutoka kwa mkuu wa mkoa,AIBU!!!! Tangu lini ???
Ni lazima watu wawajibike kwa hili!!!!
Tunaoijua serikali ya Kikwete hatushangai sana..
 
Crystal clear

Crystal clear

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
806
Likes
67
Points
45
Crystal clear

Crystal clear

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
806 67 45
Hiyo kwelini aibu hao wengine wawajibishwe kwa uzembe
 
C

chakolo

Member
Joined
Feb 6, 2011
Messages
32
Likes
4
Points
15
C

chakolo

Member
Joined Feb 6, 2011
32 4 15
Waandishi wa habari wamekuwa wataalam zaidi kwenye kutambua wahalifu wa aina hiyo. Imekuwaje?
 
Zyamwelele

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
402
Likes
11
Points
35
Zyamwelele

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2013
402 11 35
Sijui kama ni sawa kuliweka jambo hili hapa lakini naamini linagusa siasa na hasa siasa kuingilia vyombo vya utendaji.
Leo asubuhi nimeshuhudiwa kwenye TV bwana mmoja akihukumiwa miaka mitatu kwa kujifanya Afisa mwandamizi wa Usalama wa taifa.Hili halikunistua sana ila nilistuka kusikia kuwa alipata access ya kuingia mpaka kambi ya jeshi na akakirimiwa vilivyo!!!!!!!!!!!Hapo ndipo nilipostuka na ukiangalia ni kuwa Mkuu wa kambi ya jeshi alipata maelekezo kutoka kwa mkuu wa mkoa,AIBU!!!! Tangu lini ???
Ni lazima watu wawajibike kwa hili!!!!Kwa jinsi navyoifahamu serikali ya mjomba akiwajibishwa mtu hapo basi kahamishwa kitengo' vinginevyo huenda vyeo vikapanda kwawatu hapo. Ndo tatizo lakuweka siasa mbele hata kwenye maswala nyeti!! Kama wao wanaingiliwa namatapeli je jukum la ulinzi na usalama wataliweza?? Ndo maana ujio wa Obama uliambatana na makachero wake kila kona kumbe wanajua hatuna jeshi!
 
Forum statistics

Threads 1,252,239
Members 482,048
Posts 29,801,456