barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
JERRY SILAA BEBA AIBU HII MGONGONI, TEMBEA NAYO MCHANA HADI KWA JPM
KUNA mambo mengine ni ya aibu hata kutamka hadharani. Chama chenu mnakinyonga wenyewe kwa mikono yenu kisha mnatafuta wachawi.
Hebu fikiria, uongozi wa Meya wa Ilala ndio kwanza imeanza kazi chini Charles Kuyeka (Ukawa). Wamefanya ukaguzi wa ndani wa mahesabu. Yani hata hawajamaliza tayari wameibui uvundo huu hapa.
"Tumebaini mshahara uliopitishwa na Manispaa kulipa Mgambo ni 280,000/- kwa mwezi na mikataba ya ni miezi mitatu mitatu lakini wamekuwa wakilipwa Kati ya Sh 50,000/- hadi 80,000/- ilhali kwenye vitabu inabaki 280,000/-" Mungu wangu!
Kuyeko anaongeza: "baya zaidi agizo na hitaji la Manispaa ni Mgambo 150 lakini inaonesha walikuwa wakishaajiriwa 150 hupunguzwa kijanja na kubaki 100 lakini vitabuni ni 150". My God! Kweli Jerry Silaa haya yamefanyika ukiwa Meya wa Ilala? Shame on You Brother!
Kumbe ndio maana mgambo wakimkamata Mamalishe cha kwanza wanawahi masufuria ya ubwabwa na nyama! Kumbe ni njaa! Jerry Silaa!! Ninahisi machozi kunitoka. Why you look soo smart haya ulibariki. Mbona mnakidhalilisha CCM namna hii?
Kumbe hata hizi figisu figisu za Umeya ni kutaka kuficha maukoko haya yanayonuka. Na huo ni ukaguzi wa awali tu. Ama kweli CCM tumieni hata mtutu wa bunduki kukamata Meya wa Jiji iwasitiri vinginevyo CCM ya Madabida itavuliwa nguo hadharani.
Shame On You mliowaibia mgambo Ilala. JPM mkwepe Jerry u-DC maana keshatumbuliwa! Tired!