HII NGUMU KUMEZA!!

HII NGUMU KUMEZA!!

mtumishidc

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
513
Reaction score
181
Tarehe 20/8/2018 mlikuwa na offer ya GB 1 na zaidi, leo mmeshageuka kama kinyonga MB 500 tena zenye mipaka.Hivi mnaijua thamani ya Tsh 1000/= kwa sasa au mnaona raha tu kuwageuza wateja wenu!!?TIGO TULIENI AU NDIO MAANA KUNA KAMPENI YA LINE MOJA ILI MTULE VYEMA!?View attachment 844388

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi.

Ilikuwa hivi kulikuwa na offa hizi kwa wateja wa zamani.

1.1000/= Gb1 siku 7
2.2000/= Gb2 siku 2
3.3000/= Gb3 siku 3

Hivi vyote vilikuwa vinapatikana katika menu *147*00# kisha ofa chap chap na kila mteja alikuwa anapata hapo juu kimoja wapo kutokana na matumizi yake.

Wameahidi kuwa wanavifanyia kazi virudi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom