KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,229 69,360 Jan 26, 2016 #2 kwe kwe kwe hiyo kweli ngoma zito..!
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Jan 26, 2016 Thread starter #3 KENZY said: kwe kwe kwe hiyo kweli ngoma zito..! Click to expand... Wenyewe wanasema heri punda afe ila mzigo ufike
KENZY said: kwe kwe kwe hiyo kweli ngoma zito..! Click to expand... Wenyewe wanasema heri punda afe ila mzigo ufike
Yummie JF-Expert Member Sep 12, 2015 1,363 1,079 Jan 26, 2016 #4 Huu ni ukatili wa wanyama sasa,too bad.
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Jan 26, 2016 Thread starter #5 Yummie said: Huu ni ukatili wa wanyama sasa,too bad. Click to expand... Mzigo mzito kuliko uwezo wake
Yummie said: Huu ni ukatili wa wanyama sasa,too bad. Click to expand... Mzigo mzito kuliko uwezo wake
mkwepu jr JF-Expert Member Apr 20, 2014 558 1,024 Jan 26, 2016 #6 Bora tu ilivyomtokea maana huwa hasikii huyo
for life JF-Expert Member Sep 22, 2014 3,396 4,437 Jan 26, 2016 #8 hahaha kweli ngoma nzito mpka kubusu ardhi ijapokuwa zege halilali
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,524 15,149 Jan 26, 2016 #9 huyo punda aache utani afikishe mzigo hawezi basi afe tujue moja!