Ngoma inaitwa BABA na imeimbwa na STAMINA, Profesa J na ONE SIX.
Hakika iko kiwango na video yake ni nzuri ikimshirikisha mama Kanumba ambaye kaonyesha kipaji cha hali ya juu kabisa.
Hizi ndio ngoma za kupewa TUZO sio zile zinazodumu wiki mbili na kuchuja.