Hii ndoto sasa imekuwa too much

Saoka

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
405
565
Habari ya siku wadau.

Ni hivi kila siku nimekuwa nikiota nipo Shuleni na wanafunzi wenzangu hasa sekondari ingawaje ni miaka takribani 10 sasa imepita tangia nihitimu, hii imekuwa ikijirudia Mara kwa mara yani

Je, ndoto hii inamaanisha nini hasa?

USHAURI WENU WAKUU
 
Habari ya siku wadau...,

Ni hivi kila siku nimekuwa nikiota nipo Shuleni na wanafunzi wenzangu hasa sekondari ingwaje nimiaka takribani 10 sasa imepita tangia nihitimu,,, hii imekuwa ikijirudia Mara kwa mara yani

Je ndoto hii inamaanisha nini hasa??

USHARI WENU WAKUU
Ni ndoto tu haimaanishi chochote mkuu
 
Habari ya siku wadau...,

Ni hivi kila siku nimekuwa nikiota nipo Shuleni na wanafunzi wenzangu hasa sekondari ingwaje nimiaka takribani 10 sasa imepita tangia nihitimu,,, hii imekuwa ikijirudia Mara kwa mara yani

Je ndoto hii inamaanisha nini hasa??

USHARI WENU WAKUU
Sasa unisikilize kwa makini,
Bila kujali imani uliyopo, ndoto yako inamaanisha viwango vyako vya kiroho ulivyopo sasa.
Sekondari si mbaya, ila uliona nini kinafanyika hapo sekondari ya ndotoni mwako?
Tukio uliloliona ndio kiini chenye jibu la kwanini upo sekondari.
,,,,,, labda uliona upo na wenzako mnatembea tu kwa njia,,,,,,au ulijiona unafanya mtihani,,,, ama unapokea unaangalia alama za ripoti yako,,,, ama unajitahidi kukumbuka majibu ya mtihani au zoezi mlilopewa darasani,,,,,,,,nk.
NASUBIRI MAJIBU YAKO.
 
Kisayansi, ndoto za kujirudia rudia ni kitu cha kawaida. Karibu asilimia 60% ya watu wazima duniani (Hasa wanawake) huwa wanakutana na ndoto za namna hii.

Inaaminika zinasababishwa na jambo ambalo halijatatuliwa. Kwahiyo ubongo wako unajaribu kuchakata ili kupata suluhisho.

Jiulize, ni nini ambacho kinakuletea msongo wa mawazo hivi sasa au ni nini unakifikiria sana hivi sasa, au ni nini hukipendi kwenye maisha yako hivi tunavyoongea. Kwasababu hicho ndio chanzo cha hiyo ndoto.

Wakati mwingine shida haiko leo, huenda zamani ulipitia hali fulani ambayo hukukabiliana nayo kikamilifu (Mfano "Trauma") Trauma usipokabiliana nayo itaendelea kukusumbua kwa namna tofauti tofauti ikiwemo kwa ndoto. Kwahiyo, ili ndoto isiendelee, lazima utafute ni majeraha gani ya zamani hukuyatibu kisawasawa... na uchukue hatua za makusudi kuyatibu.

Dondoo za wapi pa kuanzia zimo kwenye hiyohiyo ndoto. Ukiitafakari vizuri, itakupa mwongozo wa vitu vya kushughulika navyo.
 
Mara nyingi mkuu naota nipo kwenye chumba cha mtihani namaliza alafu nasubiri matokeo, ile kwenye kusubiri matokeo bc ndio najikuta nastuka asubuhi
 
Ahsante mkuu kwa ushauri mzuri
 
Mara nyingi mkuu naota nipo kwenye chumba cha mtihani namaliza alafu nasubiri matokeo, ile kwenye kusubiri matokeo bc ndio najikuta nastuka asubuhi
Okay,
kuota ndoto ukiwa ktk chumba cha mtihani, ni kwamba ulimwengu wa kiroho unakuonyesha wewe kuwa kuna Level ya maisha unataka kuifikia, changamoto ni wakati wa mitihani inapokukabili PHYSICALLY.
Ama huwa unafeli mitihani ama huwa unachoka kusubiri then unaliacha kusudi na kujichanganya na mambo mengine ambayo hayawezi kukufikisha kwenye stage unayoitaka.
Hivyo lazima utaendelea kuwa ktk chumba cha mtihani shule ya sekondari.
 
na ukiota upo darasani "chuo" umepewa mtihani alafu wewe ukaona mtihani ni mwepesi majibu yote unajua... lakin wakati unafanya mtihani wako pembeni umesimamiwa na mwaliamu ambaye anamuogopa,
 
Ndoto za shule huwa ni ishara mbaya kwa mujibu wa mwalimu mwakasege,yaani bado hujagraduate kimaisha kutoka sehemu fulani kwenda sehemu fulani,kemea sana hizo ndoto.kuns mkwamo wa kimaisha unakukabili na hautopata suluhisho mpaka uombe sana
 
Habari ya siku wadau.

Ni hivi kila siku nimekuwa nikiota nipo Shuleni na wanafunzi wenzangu hasa sekondari ingawaje ni miaka takribani 10 sasa imepita tangia nihitimu, hii imekuwa ikijirudia Mara kwa mara yani

Je, ndoto hii inamaanisha nini hasa?

USHAURI WENU WAKUU
U ar not walking alone.
 
kama ni Mkristo na ukiona ndoto inajirudia rudia jua ni ujumbe huo na unatakiwa kuushughulikia kwa maombi tu. Kama huuelewi ujumbe/ndoto omba Roho Mtakatifu akusaidie kuutafsiri. Mara nyingi ukiona unaota uko shule jua ni jaribu linakuja au unapitia kwa muda huo, omba Mungu either akuondolee hilo jaribu (cause anaweza) au akuvushe salama ushinde.
 
na ukiota upo darasani "chuo" umepewa mtihani alafu wewe ukaona mtihani ni mwepesi majibu yote unajua... lakin wakati unafanya mtihani wako pembeni umesimamiwa na mwaliamu ambaye anamuogopa,
ili kufikia hatma njema ya mafanikio,,,,,,,,, ni lazima uvishinde vikwazo wakati wa mitihani ama Majaribio yako. Moja ya kikwazo ktk chumba cha mitihani ni huyo msimamizi. Ameleta hofu. Nini matokeo ya hofu?
........... Sasa ni hivi,
Kuna Magumu mengi una uwezo wa kuyashinda ktk harakati za maisha yako,,,,, ila yupo mtu mmoja [ baba, mama, boss nk] ama kitu kimoja ambacho kina uhusiano mkubwa sana na wewe, nacho hukutia HOFU. Na kuanzia hapo unafeli kusonga mbele.
JE, HUYU MSIMAMIZI ANAWEZAKUWA NI NANI?
Mjue adui yako, kijue kikwazo chako ama Ujue Udhaifu wako,,,,,,,,Then, Fanya bidii kushindana as long as you know him/her.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom