Ukumbini
Nimeelewa hapo kwenye pombe na makreti 5 ya bia na makreti 5 ya Jack Daniel.
Nilivyoandika, ndivyo nilivyoelewa.
ni kwamba jamaa kahamua kuoa kwa kufikiria mwaka mzima. Mwanamke akiishaolewa habari za ndoa Keisha Ila kabla ya ndoa ndio hizi kelele. Drama za wanawake hamuzielewi. Sababu kubwa ya wanamke kumuona mwanaume handsome ni pale mwanaume anapokua hataki mademu wakati kumbe mwanamme mipango yake haiko poa. Ndio situation nzima ya story yake. Wanawake wanapenda mazoba kuliko wajanja wanaogopa kuumizwa sasa jifanye mtoto wa mjini hata kama unazopesa hautadumu na mwanamke, maana mwanamke akikosea ni kosa la mwanaume kwa kua wanapenda kusikilizwa sio kujibiwa au kuulizwa ulizwa. Ukiona hauendani nae usiforce mkaushie au mwache. Hongera kwa jamaa anaekaribia kufunga ndoa hatolala njaa maana mwanamke anamashosti wengi halafu mtoto wa mjini ila hana hela sema ni sister doNilivyoandika, ndivyo nilivyoelewa.