Hii ndo the most expensive fighter plane - USD 1 Trilion

Tirion 1 usd sio gharama ya ndege moja, ni gharama ya project tokea ilipoanza mwaka 2006 hadi sasa na mpaka itakapomaliza, unit cost ni usd 153mill.
 
Likitu la ghaaaali!!! Halafu kazi yake ni kuuwa watu na kubomoa majengo. Ujinga mtupu.
 
Tirion 1 usd sio gharama ya ndege moja, ni gharama ya project tokea ilipoanza mwaka 2006 hadi sasa na mpaka itakapomaliza, unit cost ni usd 153mill.
muwe mnaweka kwa hela za madafu sio kila aliye JF anajua usd 153mil sawa na kiasi gani
 
Hii ni kufuru kama $1 tilion=Tsh 1200 tilion. Bajeti ya Tz huwa ni Tilion 14 tsh per year kwa hiyo hilo ni sawasawa na budget ya miaka 85 tanzania kwa kweli tunasindikiza maisha!!
 
Mkuu wangu Bulldog nadhani ungepitia kiduchu vyanzo vyako nijuavyo mimi ndege ya kivita yenye bei kubwa ni B - 2 Spirit.Ndege moja ni U$ 2.4 bilion wamerekani walikuwa wanataka watengeneze ndege 132 Congress wakazipunguza hadi zikabaki 21.B-2 ni vigumu kuonekana katika radar signal.

b2_spirit.jpg
 
wanadamu wanapataje huu ubunifu wa ajabu namna hii. sitaki kuamini kama shule pekee inatosha
 
Sisi bado tuna chezea sijui Vi-Mig sijui ngapi, hata Raptor hatujafikia
halafu Mkuu nawashangaaa sana hawa viongozi wetu, hakuna sababu ya kununua hii military mitumba! Mbadala wawekeze kwenye elimu badala ya kupiga vichwa matafali!
 
Mh! Tunaishi kweli sisi msikini tunaishi kwa nguvu za mungu mana hawa jamaa wakiamua kutubadilikia ni dakika mbili tunabaki kuwa historia.
 
Ndo maana Russia anaogopa ogopa sana.
B-2, F-22, F-35 zote radar evading ipo kubwa sana hapa kwetu zaweza kuwa zapita kila siku
 
halafu Mkuu nawashangaaa sana hawa viongozi wetu, hakuna sababu ya kununua hii military mitumba! Mbadala wawekeze kwenye elimu badala ya kupiga vichwa matafali!

Kabisa mkuu
 
wanadamu wanapataje huu ubunifu wa ajabu namna hii. sitaki kuamini kama shule pekee inatosha

Shule baba na R&D inahusika sana, sio sisi watu wanashindana kwa GPA na Div 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom