Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
- Thread starter
- #41
halafu Mkuu nawashangaaa sana hawa viongozi wetu, hakuna sababu ya kununua hii military mitumba! Mbadala wawekeze kwenye elimu badala ya kupiga vichwa matafali!
Umepatia sana mkuu, serikali za nchi za scandnavia zimewekeza kwenye Welfare ya watu wake ndo mana wapo juu sana.