kwanini mkuu?Daah!Hizi picha ingekua mwezi mtukufu wa RAMADHAN umeshaanza ungekua umeshaniharibia funga yangu
Hivyo visu havina cha USHEIKH wala UIMAM lazima ufikirie kwakutumia kichwa cha chinikwanini mkuu?
Tatizo ni kutoelewa lengo la mada na mwisho kujichafua kwa maneno yasio ya msingi rudi kwenye mada.Mbona huu upumbavu wa instagram na whatapp? Mods hili ni jukwaa la siasa. Tuondolee huu ujinga.