Hii ndo sex body....

Ha ha ha ha ha..... pole mwayego!!!
duniani kuna mambo...
 
i think sex body ni body yenye mvuto wa kimapenzi.
 
Watu wana maneno ya kukarahisha wenzao!!!!!
Jinsia yako tafadhali
 
Habari zenu wana jamiiforum
wa MMU
ningependa kujua sex body ni ipi?
sababu nimeambiwa sina sex body.

kamuulize tena ana maanisha sexy body? halafu uje tena na evidence ya picha yako,sasa wewe umekuja na maneno matupu tutajuaje kiini cha tatizo? Labda unasingiziwa je huku unayo, na kama huna tukushauri jinsi gani ujipatie hiyo.
 
Habari zenu wana jamiiforum
wa MMU
ningependa kujua sex body ni ipi?
sababu nimeambiwa sina sex body.
Jithamini kwa jinsi ulivyo..You are sexy no matter how you look as long as you have the confidence!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…