Hii ndo sehemu pekee ambayo Mtanzania anaweza share na wewe siri ya Utajiri na Kukubembeleza wote Muwe Matajiri

Aiseee hii mada nilipoiona Hakika nimefurahi sana nadhan ntapata jibu murua kabisa lisilo na makandokando

Kuna hawa QNET wamekuwa wakinishawishi sana nijiunge nao nimewakwepa sana lakin kuna jamaa yangu simu hazikatiki ananiambia napishana na utajir wa wazi kabisa ,lakin kilichokuja nifanya niwe na kiguhumiz ni kununua bidhaa moja kwa million 5 hapo hapo MTU anakwambia ili uanze kufaidika had na ww upate watu wawil ndio uanze kupata kamishen sasa nikiangalia watu wawil ntawatolea wapi kwa kipindi wa kununua bidhaa moja kwa million 5 ndo nifaidike ,mbaya zaid jamaa kanikomalia balaa yaan cm hazikauk kuwa njoo umalizie semina maana nilienda semina ya awal na sikutaka kurud tena huko ila jamaa kakomaa sana .najua hapa kuna wajuzi wa haya mambo mtanitoa tongo tongo na somo ntapata vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa ofisini nikapigiwa simu na secretary akinambia kuna mgeni wangu. Nlimuuliza anatoka wapi akanambia jamaa anasema anatoka Kampuni moja ya Nje anaomba sana tuonane though hatukuwa na Appointment, nikamruhusu.

Aliingia kijana mmoja akiwa anaendelea kujifuta jasho huku shati lake limeloana mgongoni. Nikamkaribisha akakaa na kujitambulisha.

Anasema anaitwa Khamis Ni mfanyabiashara na Mjasiliamali anayefanya kazi na Kampuni ya Forever Living.

Hapo nikarudi kuegamia seat maana mara ya kwanza nilikuwa nimekaa 90 degrees mikono ikiwa mezani, aliponitajia tu habari za forever living nikaona nilikuwa nimetumia nguvu nyingi ku pay attention ambayo haikuwa lazima.

Nika relax. Akasimulia habari za forever living na jinsi zinavyotajirisha watu. Hii ilikuwa mwaka 2014 na mimi nimeanza ifahamu forever living 2003 so naifahamu miaka 11 before him, nikamsikiliza.

Khamis anadai aliacha Uaskari baada ya kuona forever inalipa sana. Niliinuka kama naenda chukua maji ili nimwone alivyo alivaa viatu vimepauka kwa kukosa polish na pia sole imelika kidogo upande na suruali yake pia haikuwa na nuru.

Nikarudi kukaa nikiwa na maji naye nimempatia maji ya chupa na disposable cup, alijieleza na kuelezea jinsi watu wanavyotajirika mpaka kumiliki boats,magari ya kifahari na majumba. Huku wakiruka na ndege kila kona ya dunia.

Nlimuuliza ana muda gani katika biashara hiyo na toka aache uaskari. Aliniambia mwaka na miezi 8 sasa, nlimsihi angeweza arudi kwenye uaskari aachane na hizo ndoto then nikamwelezea forever ifanyavyo kazi.

Usoni nlimwona akisawijika alipoteza lile bashasha la mwanzo ambalo lilikuwa fake akarudi kwenye default setting. He was sad, mwishowe nilimpa tsh 5000 kirafiki aende elezea wengine habari ya utajiri huo.

NETWORKING au NETWORK BIZ ni shughuli ambazo kiuhalisia zina utapeli na maneno maneno mengi ya uongo. Hakuna uhalisia kwa victims asil 75. Hawa wamepigwa pesa nao wanatafuta wa kuwapiga maisha yaendelee.

Ukiona wanabembeleza uwe tajiri kama wengine walivyo matajiri unapata shaka je wao hawapendi utajiri? Wanaeleza kwa hisia na tabasamu fake moyoni wakiwa na uchungu mwingi sana. Maana tayari washaliwa.

Mwaka jana jamaa yangu mmoja alikuwa anafanya Kampuni moja ya Kichina yenye sifa kama za QNET na FOREVER LIVING alikuja home akapifa picha mpaka kwenye mkweche wangu.

Sikujua nia yake mpaka siku moja nlipomwona amepostiwa na jamaa mmoja Facebook akielezea mafanikio aliyoyapata huku akiwa ameegamia GARI LANGU.

Huu ni utapeli kwa wananchi. HII NDIYO SHUGHULI PEKEE AMBAYO MTANZANIA ATAKUELEZEA SIRI ZA UTAJIRI ILI NAWE UWE TAJIRI KAMA WENGINE ATAKAOKUTAJIA ILA YEYE HATAKI UTAJIRI HUO. YAANI ANAPENDA AKUONE WEWE TAJIRI IL HAL YEYE BADO HAJAWA TAJIRI.

Hakuna Fursa ambazo watu huzitangaza kwa maelfu ukiitiwa Fursa sehemu ujue wewe ndiyo fursa yenyewe.
"Bahati mbaya sana, kila binti anayetangaza ametokea forever living namlamba". Kuna jamaa alikuwa anasema hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dame nammendea. Naye anajihusisha na hayo mambo ya forever living. Nasubiri tu muda ufike nile nyama choma...

Yan najilaumu kumkosaga mtoto Jackline black beauty flan hv ulinishawishi Sana enz hxo 2011 nije forever uchaga wa kujua mengi nikawa nakukwepa tukikutana nakutoa kwenye reli kwenye Inshu za forever kumbe ningejidai nakubali na kujifanya naset mitambo ningefanikiwa kula tunda aisee.

Sijui hata upo WAP sikuhz
 
Kuna watoto wawili wako forever living. Aiseee lazima nile tunda mkuu.
 
Mkuu search tu qnet hapa jf itakuta nyuzi zake debe.usijaribu kabsaa utapigwa tu hyo 5m yako.
Aiseee hii mada nilipoiona Hakika nimefurahi sana nadhan ntapata jibu murua kabisa lisilo na makandokando

Kuna hawa QNET wamekuwa wakinishawishi sana nijiunge nao nimewakwepa sana lakin kuna jamaa yangu simu hazikatiki ananiambia napishana na utajir wa wazi kabisa ,lakin kilichokuja nifanya niwe na kiguhumiz ni kununua bidhaa moja kwa million 5 hapo hapo MTU anakwambia ili uanze kufaidika had na ww upate watu wawil ndio uanze kupata kamishen sasa nikiangalia watu wawil ntawatolea wapi kwa kipindi wa kununua bidhaa moja kwa million 5 ndo nifaidike ,mbaya zaid jamaa kanikomalia balaa yaan cm hazikauk kuwa njoo umalizie semina maana nilienda semina ya awal na sikutaka kurud tena huko ila jamaa kakomaa sana .najua hapa kuna wajuzi wa haya mambo mtanitoa tongo tongo na somo ntapata vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au ndio itakua huyu Jackline ninae muona huku Moshi.
Yan najilaumu kumkosaga mtoto Jackline black beauty flan hv ulinishawishi Sana enz hxo 2011 nije forever uchaga wa kujua mengi nikawa nakukwepa tukikutana nakutoa kwenye reli kwenye Inshu za forever kumbe ningejidai nakubali na kujifanya naset mitambo ningefanikiwa kula tunda aisee.

Sijui hata upo WAP sikuhz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi mmoja nilimwambia anipe hela ya kujiunga. Nikipata faida nimrudishie. Yaani nilisubiri angeituma ningeila bila huruma.
 
Back
Top Bottom