Hii ndo sababu kwanini tunatawaliwa

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,910
6,704
Binadamu ni kiumbe kinachoongozwa na Roho.

Je, kinaongozwaje ?

Ndani ya mwili wa binadamu kuna miji miwili. Mji wa Roho(Rohoni) na Mji wa Nguvu(Mwilini).

Mwilini(Mji wa Nguvu), ni sehemu ambapo uishi nguvu za binadamu.Rohoni ni sehemu ambapo uishi Ufahamu wa Binadamu.
Roho uongoza Nguvu pindi unapofumbua Macho na uongoza Ufahamu ulinzi pindi unapofumba macho.

Hivyo unapofumba macho Roho uenda kwenye ufahamu na unapofumbua Roho uenda kwenye Nguvu.

Roho inatoka Wapi ?

Binadamu Hana mamlaka za Roho. Kugundua hilo kila jamii(Asili) Mungu ameipa Mamlaka za Roho ili ziweze kumzalishia Roho binadamu.

Hivyo unapozaliwa, Mamlaka ya Roho ya wazazi wako ndiyo itakuzalishia Roho na kuitia ndani yako.

Hapo utakuwa umepokea Roho, kutokana kila mamlaka ya Roho imepewa nguvu ya kuzalisha Roho kupitia Nguvu Fulani,jua,miti,mwezi,n.k

Hii itapelekea kupewa mashariti(Mira,desturi,Halali,Halamu,) ya kuishi ili usiathiri Roho yako.

Vitu vinavyoidhuru Roho:-
1.Kuvunja Mira na Desturi
2.Kuhama Asili

Hivi ni vitu ambavyo vina athiri Roho na kupelekea Kufa.

Roho inapoathirika na Kufa ndipo unapoaanza kupata shida na kutawaliwa.kwani inapoathirika uadui wa kiroho wa Asili(wachawi) watakuwa na uwezo wa kutenda lolote kwako maana ndani ya Roho ndo kuna ulinzi.

Hivyo chanzo Africa kupotea ni Asili.

Ukombozi wetu Upo kwenye Asili yetu.

N.b
Hata ukiacha na kuuwa Roho ya Asili na kufata Roho za Asili nyingine, Bado hizo Roho zinauadui wa asili nao hautakuacha. Pia mamlaka zako za Asili zitachukia kwa wewe kuuwa mwana wao nazo hazitokuacha.

Hapo ndo kwenye majini na mizimu.

Majini ni uadui wa Asili ya kigeni na Mizimu ni mamlaka zako ulizosababisha Kufa kwa mwana wao na hapo Bado wachawi.
 
Mada yako haieleweki!
 
Kazi ya kumuelewesha mtu ni ngumu Sana, hasa Kama hata wewe huelewi unachotaka kumuelewesha mwingine!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom