Hii ndo raha ya kuwachagua wapinzani, ona wanavyopiga kazi!

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
ed845c1e5257c54a9bf978d68f306c1a.jpg
37ed1c53c5c2fa1727b39d83e982fdda.jpg
398014fdaf42b37d4a6433d9e50ff9e6.jpg
89296fb7663ffe38997704d0a54be6d2.jpg

Kidogo Cha wapinzani kinaonekanakikubwa Cha chama tawala kimeenda Kwa lugumi
Muheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil D Mwambe leo ameendelea kutimiza ahadi zake kwa kutekeleza ahadi ya Sementi tani 27 kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa. Muheshimiwa Mbunge alipata nafasi ya kula Chakula na Wapiga kura wake wakawaida kabisa. Muheshimiwa Mbunge aliongoza zoezi Hilo yeye mwenyewe jambo ambalo lilipongezwa na wananchi. .
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
 
Sawa msemaji wa chama
 
Gigy money naona upon katika ubora wako......jitahidi kutoa pongezi na siyo kuitafutia sababu hiyo pongezi!!! Veepy Dada ukuu wa wilaya umenyimwaaaa!!!
 
Sioni hoja hapa. Hatuchagui mbunge ili atupatie misaada, tunataka mwakilishi wa kutusemea bungeni. Tubadilike
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM

Tehe, umeandika kama nakuona vile, yaani kama dogo mwenye wivu anapoona mwingine kasifiwa, eti atarudi! Akirudi shida iko wapi? Tunachotaka sisi ni kazi ya kweli na si porojo halafu hakuna kitu
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Ni kweli hawezi kufanya siasa za majitaka kama mlizomfanyia akakatwa kwa figisu na mwishowe mkaumbuliwa na wananchi!! Hakuna kurudi nyuma...mmeanza wivu na kutaka kumletea mizengwe,
Namba mtaisoma wenyewe....
 
ed845c1e5257c54a9bf978d68f306c1a.jpg
37ed1c53c5c2fa1727b39d83e982fdda.jpg
398014fdaf42b37d4a6433d9e50ff9e6.jpg
89296fb7663ffe38997704d0a54be6d2.jpg

Kidogo Cha wapinzani kinaonekanakikubwa Cha chama tawala kimeenda Kwa lugumi
Muheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil D Mwambe leo ameendelea kutimiza ahadi zake kwa kutekeleza ahadi ya Sementi tani 27 kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa. Muheshimiwa Mbunge alipata nafasi ya kula Chakula na Wapiga kura wake wakawaida kabisa. Muheshimiwa Mbunge aliongoza zoezi Hilo yeye mwenyewe jambo ambalo lilipongezwa na wananchi. .
ALIELEKEZA DOLE LA KATI KWA JUU HUKU VIDOLE VINGINE AKIWA AMEVIKUNJA
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Stupid. Wewe siku ukiwa na akili ukachangia cha maana dunia itakuwa giza tororo.
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Atakae rudi ccm sio mzima deep down he is weak na anaeota ndoto ya 2020 ccm itakuwa madarakaani deep down yupo stage ya kwanza inaitwa denials.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom