Hii ndo raha ya kuwachagua wapinzani, ona wanavyopiga kazi!

Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Kwahiyo yupo ccm? Mbona unaongea mambo kama chei chei ?
 
Gigy money naona upon katika ubora wako......jitahidi kutoa pongezi na siyo kuitafutia sababu hiyo pongezi!!! Veepy Dada ukuu wa wilaya umenyimwaaaa!!!
Na sasa naibu katibu mkuu anajiandaa kumfungisha vilago na lumumba atakuwa anaisikia kupitia radio uhuru
 
Ni kweli hawezi kufanya siasa za majitaka kama mlizomfanyia akakatwa kwa figisu na mwishowe mkaumbuliwa na wananchi!! Hakuna kurudi nyuma...mmeanza wivu na kutaka kumletea mizengwe,
Namba mtaisoma wenyewe....
Mkuu waisome mara ngapi?
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Kweli wewe punga, kwani ni Chama gani huyo? Mbona unatulazimisha wanaume tukutolee mahali?
Acha udaku wewe demu
 
Hii tabia ya wabunge kuwa wafadhili wa jimbo badala ya kuwa wawakilisha wa jimbo ni kukemewa kabisa. Binafsi nilizoea ni tabia ya wabunge wa CCM kutumia utajiri wao kuwapumbaza wananchi ila cha kusikitisha sasa inaanza kuhamia upinzani na tena wananchi wanaifurahia kabisa, sijui ni umaskini au ni nini.

Tukiendelea na tabia hii tutafika sehemu na kuwa na wote viongozi wanaotokana na tabaka la matajiri tu, tunahitaji wawakilishi wataoenda kutetea maslahi ya jimbo na sio watoa misaada kwa jimbo, CCM kwa kuwa viongozi wengi wa kuchaguliwa lazima watoe rushwa, tayari kuna tabaka la matajiri tu viongozi, naomba opposition wajipange wasiingie katika huu ujinga pia.
 
Mh.
Yeye hajajipanga na UKUTA??

Kwa hili ansonyesha ukomavu wa upinzani na nilakuunga mkono na huyo anapaswa awe mfano wa woote ndani ya upinzani

Hapo naamini kwenye hiyo shule haitakuwa ya upinzani itakua ni ya wanainchi

Hongera sana mbunge wewe umeonyesha dhana nzima ya upinzani na nini maana ya kuikosoa serikali

Na hapo serikali imekosolewa kwa namna ya pekeee sana na kama mbinu hii ikitumiwa na upinzani inaweza leta matunda mema majimboni na baadae kulikomboa tsifa hili

Mwisho tunasema hongera sanaa

Hofu yangu tu ni kwamba ubaweza kosolewa na wana ccm wapuuuzi wafia chama kama inzi kidondani
Au na wapinzani wenyewe wanaohendekeza siasa zs uanaharakati

PIGA KAZI IONYESHE SERIKSLI NINI INAPASA KUFANYA
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Njaaaa itakuuwa,ushapost kesho Nenda kachkue buku7 yakooo
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Ushakuwa sheikh yahya kwa utabir,akili zenu wana ccm zimeganda sana-eti alikuwa ccm mpaka hatua ya mwisho-ipi hiyo hatua???acha kutubania pua jibaba zima
 
Hata hivyo, wapinzani wanavurugwa sana, wangefanya mambo mengi!
Kula like mkuu. Tatizo hao wa kijani wana WIVU na hawajiamini pamoja na kuwa wako madarakani. Wana maigizo mengi wanawasiwasi wananchi kuyajua.
 
Safi kamanda achana na majipu piga kazi kuwaonyesha sisi ndiyo chaguo la Mungu na vinginevyo kama wanavyojifurahisha.
 
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Kumbe gigy nation,ha ha ha haaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom