Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
kwishne, mara ya mwisho nilimla 2005. mtamu sanaaaagogogo anapatikana ziwa victoria, sio huyu kwenye picha, gogogo ana mdomo mreeeefu, nadhANI wamepotea kabisa au wapo wachache sana ziwa victoria