Hii ndo Majinjah special. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo Majinjah special.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 26, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Basi bwana,tukatoka zetu kula pale comfort kitonga na basi la majinjah.Dereva akawasha mtambo tuanze kuzichambua kona za mlima kitonga kuelekea mbeya.Mara mbele yetu kuna lori linapanda mlima taratibu.Makonda wakamtia ujinga dereva,'oya acha kunyata tumechelewa,overtake hilo lori halafu tembea na yesu!'.Basi dereva akaanza kuli overtake lori,hata hajamaliza ku-overtake,nikasikia dereva analia,'oyaa hamna accelerator!',halafu ukicheki mbele yetu tank ya Dalbit inashuka mteremko like nobody's business.Nilikua hatarini lakini ilibidi nicheke.Seat za nyuma kuna mwana mama mmoja kawadanganya watu eti gari limeshamshinda dereva linataka kuangukia bondeni,abiria wakaanza kutiririka kuja mlangoni eti wanataka kutoka nje.Lakini konda alifanikiwa kuwadhibiti na ile kasoro ya accelerator ilirekebishwa mara moja na safari ikaendelea.Majinjah ni basi moja bovu kweli yaani ukilipanda andaa nauli ya ziada.
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Habari yako unaiwekaje mkuu? accelerator imekata wakati gari inapanda mlima ikiwa ubavuni mwa lori,what happened to lori la Dalbit@riziwani lililokuwa linashuka? walirekabishaje ilihali ngoma inatembea?au no ulitaka tu kufikisha ujumbe wa kwamba Majinjah mbovu? pole bana safari za mbeya usipande majinjah,al hushoom ni vimeo
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mnapanda mabasi gani hayo jomba yasiyoeleweka?
  Mimi japo silifahamu hilo gari, huwa nayaamini sana mabasi ya MCHINA-YUTONG, at least bado hayajaanza kuchoka.
  Hivi sasa niko kwenye route hiyohiyo na basi LA mchina linaitwa NDENJELA coach, ni zuri ajabu na relly comfortable. Chagueni magari ya kwenda nayo.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  Hivi Tunyande ipo?
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  sielewi kabisa...ngoja nipite tu...
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  hilo basi halifai,pamoja na kuondoka saa 12 ubungo lazima liwe la mwisho kufika mbeya.siti zenyenyewe zimebanana sana hata hewa inakua ndogo.! Mimi usafiri wangu ni Abood tunduma -dar-tunduma.!
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Gari ilisimama,makonda wakashuka chini wakaweka mawe lisirudi nyuma,then wakarekebisha kasoro.Kuhusu Dalbit,dereva wake alijitahidi ku-control gari yake akatupisha salama.
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Majinjah naijua vzuri sana,nilipata dharura na nikafika Msamvu pale moro mida ya saa 5 na majinjah ndo basi pekee iliyokuwa imebaki.Nashukuru nilifika salama na leo nimepanda Happy nation Voice of Manka narudi Moro.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Majinjah sijawahi kuliona, Jaguar ungesubiri hood ya kutoka Arusha au siku hizi halipo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  mbeya kuna magari mengi tu mazuri na ya kisasa. Aseme tu alijichanganya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  kuwa makini hilo basi linakimbia mno, auangalie sana kona za ihovi.!
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo hood ya A-town ilichomoka saa 11:40 na cc tulitoka mbeya saa 12:45 lakini tumeikuta hapa mizani makambako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nawatalia safari njema wote mlio safarini.
   
 14. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Nani ameishawahi kupanda hii mikangafu iitwayo Southern Express ya Mtwara -Dar-Mtwara? Haya mabasi naapa kama hayana chasis ya Tractor basis yana ile ya mikokoteni. Kama umekosa siti kwenye mabasi mengine bora uende kwa miguu.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hahahaah! Nimewahi kupanda wakati naenda Lindi, ni balaa aisee. Kuna mengine yanaitwa Ng'itu nayo ni vimeo balaa.
   
 16. Cloud Computing

  Cloud Computing JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu mbona kuna mabasi mengi sana mazuri ya kwenda mbeya kama vile Green Star,Ndenjela,Al-saedy,Mbeya Express, Sumry,New Force, Sai baba, Princess Muro,Nganga express,Abood na mengine mengi sana! nafikiri ulikuwa na haraka lakini kama ungeuliza nafikiri ungeelezwa vizuri.
   
 17. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,412
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Huu mpango wa kuharibiana biashara si mzuri jamani!
   
 18. S

  Starn JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Next Tme panda MBEYA Class utafika bila accelerator kukatika.
   
 19. R

  Richard Nguma Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja ngoja nikapige mbege halafu desert nishushie na TBL FARU
   
 20. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  ....Chanzo Cha Ajali nyingi ni Kauli za Kijinga na Kichochezi kama hizi...
   
Loading...