Hii ndo ilomfanya Dena Amsi apigwe Ban? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo ilomfanya Dena Amsi apigwe Ban?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Feb 25, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hata hivo hata mi sina hakika kama sivunji sheria kwa kupredict kuwa hii thread ambayo Dena alianika private msg hadharani ndiyo imemfanya apigwe ban.


  Kama nakosea, nawaomba sana mods waninyweshe kikombe cha ban. I cant live without you JF.


  Mnaikumbuka hii thread hapa chini? bila shaka wanasema kuwa ni kosa la jinai kuanika private msg...  Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

  Tangu nijiunge na JF sijawahi kupata PM ya aina hii ndo maana nimeamua kuiweka hapa uvumilivu umenishinda

  Kilichonisikitisha zaidi ni siku hiyo hiyo ndo kajiunga kaja na matusi


  [​IMG] Girlie Girlie
  19th February 2011 06:26 PM
  [​IMG]
  [​IMG] Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 19th February 2011
  Location : Dar
  Posts : 43
  Thanks14Thanked 5 Times in 4 Posts

  Rep Power : 0


  [​IMG] niache tafadhali
  Huna akili pamoja upremium member wako. Ungekuwa na heshima ukaacha kunifatilia, endelea na maisha yako. I wish ningeweza kukublock milele! ​
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo thread ya lini BAN iwe leo
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  speculation!@dot.com
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siamini . . . .
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapana nakataa kabisaaaaa, haiwezi kuwa hiyo.
  Lizzy kasema kitu cha msingi sana kule kwenye manung'uniko basi tuuuuuuuu!!!!
  NI vizuri tukajua kwa nini mtu amepata Ban, kwa amani tuuuuuu!!!
   
 6. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni kweli Desidii hii sredi ni ya muda kidogo (sikumbuki siku) ndo apate hukumu leo, sidhani.
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Inawezekana!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani!
   
 9. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  In anycase I wouldn't like what is deemed as a private message suddenly becoming public, so let's respect that, or just attack head on...
  Backy backy....
  Engineer
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Akili yangu inagoma kukubaliana na hii sababu ..... c'mon guyz tupeni sababu yenye mashko
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Mods nao wamekaa kimyaaaa! Wanatuchora tunavyotoa sababu ambazo sio.
   
 12. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  TBS imekataa kupitisha hiyo. Na kwa nini mods hawajibu?
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hii ndio rule iliyom-BAN Dena

  13. We reserve the right to ban any user temporarily or permanently, refuse posting from screen names we find offensive, edit or delete any post, limit postings on any topic, and shut down any topic altogether, for any reason, or no reason, without explanation or warning.
   
 14. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
   
 15. CPU

  CPU JF Gold Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwanini?
   
 16. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi si tunaruhusiw kufanya maandamano kudai maelezo kutoka kwa mods
   
 17. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Kama amepigwa Bun lazima amevunja mojawapo ya sheria za JF:
  Mods wanapenda wachangiaji Active kama huyu member, Sidhani kama wanaweza kumpa ban bila sababu.
  ni vizuri tumepata habari kwamba amepewa ban.
  sababu ya ban ni lazima awe amevunja mojawapo ya sheria, Sidhani kama kuna chuki binafsi au kaonewa.
  Naona wengi tunalalamika kama huyu member ameonewa, Tunataka Mods watupe sababu then, tui judge hiyo sababu.
  jamani, Sheria ni Sheria, haijalishi wewe ni member wa aina gani.
  any way Mods hebu tendeni haki mtupe sababu, sio kwa huyu tu. na wengine wote mtakao wapa ban tupewa sababu.
   
 18. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uandikaji wa hizi rules haukuwa shirikishi, zilipoandikwa idadi kubwa ya wanachama wa sasa hawakuwepo.
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimewasiliana kwa simu na DA kwa nini kapewa bann akaniambia ameomba kwa sababu zake binafsi apumzike kidogo lakini hakuvunja sheria yoyote ile.
  Huo ndio ukweli.
   
 20. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hope she is watching with her very next eye...and probably enjoying
   
Loading...