Hii ndo asili yetu

Gesi haipekiki hapo... Mimtindi makombe manne
 
Kuna jamaa alipanda nayo menyu kama hiyo kwenye gari ile anafungua ili ale abiria wa karibu yake wakamuomba ache wako tayari wamnunulie chips kuku
Walijua atawakomesha njia nzima. Ingekuwa mwendo wa "ushuzi wa ngomani" mwanzo mwisho. Mtu anajamba ushuzi mkali hadi abiria wakisikia harufu yake wanapaliwa.
 
Nimetamani hayo mahindi
 
Asili yenu inatisha walahi
 
Hapo hakuna gesi, hakuna cholesterol, hakunh blood pressure, hakuna diabetes, ni afya tu.
 
Nimependa viazi na hayo mahindi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…