Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
๐ฏ๏ธ Kama ulikua unajiuliza ni app gani unahitaji kwa ajili ya kurusha kitu Toka kwenye Kompyuta au kwenda kwenye Kompyuta kutoka katika simu basi hii app inaitwa LocalSend.
๐ฏ๏ธ Ni app nzuri sana ambayo inakupa uwezo wa kurusha, file lolote, picha, videos, audio, Documents, Ujumbe yani Text kama Text toka kwenye simu kwenda kwenye simu nyingine au Kompyuta na simu bila shida yoyote.
๐ฏ๏ธ App hii haitaji bando au Bluetooth on yenyewe inapiga kazi offline Utaweza kurusha kitu chochote bure kwa haraka ndani ya muda mfupi bila shida yoyote kupitia simu au Kompyuta yako.
๐ Kubwa zaidi unaweza tumia Kurushiana vitu toka Simu ya Android na iphone inapatikana kwenye soko la playstore na app store โ .