wilson peter
Member
- Dec 20, 2012
- 32
- 10
Nipo kwenye foleni maeneo ya Ubungo hapa, nimeshuhudia kijana wa watu tena mkakamavu tu akiwa na kibegi chake akikaribishwa mjini na hawa jamaa wa karata 3 au mda mwingine hutumia vipande vya biskuti kwa mtindo ule ule wa kutaka kujipatia mkwanja faster faster. Alikuwa analia ila wasamaria wanamfariji na kumwambia "wezi wale, na ukiwafata watakuchoma visu ".
Vipi ndugu zanguni, hakuna aliewahi kuingizwa mjini maeneo haya ya Ubungo kwa style yoyote ile? Tuwe wakweli tu.
Vipi ndugu zanguni, hakuna aliewahi kuingizwa mjini maeneo haya ya Ubungo kwa style yoyote ile? Tuwe wakweli tu.