Hii ndiyo tofauti ya Nyerere na marais wastaafu wengine

Mchokoo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,179
1,579
Wakati ule akimpigia debe Mzee wetu Mwinyi, mwalimu alisema bayana maneno haya, ndugu yetu, mwenzetu, anafaa kuwa rais wetu.

Lakini baadaye mambo yalipoanza kwenda tofauti na mategemeo yake, mwalimu tena waziwazi alikuwa wa kwanza kukosoa utendaji wa awamu ile.

Kimsingi tunalo la kujifunza hapo.

Daima ukiwa fundi wa kuwapigia watu debe ili wachaguliwe katika ngazi fulani za uongozi; wanapokosea uwe wa kwanza kukosoa utendaji wao, tena kwa uwazi kama ulivyofanya wakati unapiga debe.
Kama huwezi kufanya hivyo wewe hufai kuwa mpiga debe kwenye kampeni yoyote japo iwe ni ya Mwenyekiti wa Kitongoji.
 
Nyerere hakuwa na makandokando ndio maana aliweza kuongea. Waliofuata hili ndilo linafanya waufyate!
 
Back
Top Bottom