Hii ndiyo Tanzania yetu Bangi yako ila Dhabu yao

georgemwaipungu

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
2,779
589
Eti, ni katika nchi hii tu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mahali ambapo kama bangi ikiota shambani kwako ni yako.

Utashtakiwa kwa kosa la kulima bangi, na kufungwa miaka thelathini jela.

Lakini sasa, kama kwenye shamba lako wakigundua dhahabu, eti ni yao. Wanakunyang’anya hadi shamba lako eti kwa manufaa ya Taifa.

Nisaidieni jamani, hapo haki ipo kweli?
 
Ndo maana watu wa bangi wakiwa wapo handas wanasema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa mtu tanzania bangi zinawatuma mengi ya maajabu ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom