MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
-
- #121
Dunia hii ina watu wengi ambao wanaishi katika matamanio yao au wanadhani dunia inajengwa kwa kutumia fikra zao.Mtaota sana ila Ikulu si rahisi kama mnavyojiaminisha maana mnaweza kuuzwa na mkauzika mkidhani mabadiliko kumbe ni ya kuwadidimiza!!!!Kuna wagombea zaidi ya watatu wa uraisi na usijiaminishe sana kuwa chama chako au mgombea wako atashinda kwa kuangalia wanaokuja katika mikutano ya chama chako!!! Tafakari kuwa na subira usije ukapata maradhi ya presha au mshituko au kushindwa kula chakula ulotafuta kwa jasho lako kwa mgombea wako kushindwa!!!!
Mbowe ni mpiga kamari ambaye sidhani kama amezipanga karata zake vizuri. Kama CHADEMA itashindwa uchaguzi wa urais basi Mbowe atakuwa katika hali mbaya sana kisiasa. Kwanza lawama zote za kushindwa toka kwa mahasimu wake ndani ya chama zitaelekezwa kwake, kwani ni yeye ambaye, kwa kiwango kikubwa, ndie aliyekuwa injinia wa mkakati wa "kumuopoa" Lowassa toka chama tawala. Ni huyo huyo Mbowe ndio aliyekuwa mteteaji mkubwa wa kuvunjwa kwa kanuni za chama kwa kumruhusu Lowassa awe mgombea ilhali hakukimu vigezo. Matokeo yake tumeyashuhudia kwa kujitoa kwa Dr. W. Slaa ambaye amekuwa kiungo muhimu katika kukijenga chama kitaifa. Pili nafasi yake kama kiongozi wa upinzani bungeni itakuwa mashakani kufuatia kupoteza majimbo kadhaa aidha kwa vyama vingine vya upinzani au chama tawala.Uchaguzi huu ni make or break kwa CHADEMA na hasa viongozi wake wakuu...
Hawa pensioners waliozeekea ndani ya CCM na serikali yake ndiyo wanadai wako tayari kwa sasa kutupigisha kwata la kimaendeleo kwa speed ya 120Km/h.Waaau!
Mababu hawa wachovu ndiyo walete mabadiliko? Kingunge alihongwa parking system na Mwapachu ana % yake kukodisha nyumba za Lowassa kea USD wakato akiwa SecGen wa EAC. Yeah, mabadiliko.
WM
Hebu ipange hiyo safu katika wizara 8 muhimu.
Kisha uniambie hiyo kasi ya kumzidi mlugo itatoka wali na kwa nani.
Muongeze na Lema na Sugu hapo juu.
Sumaye keshasema hakuna wanaojua utumishi wa umma huko.
Speed 120.
Utashangaa
Wananchi ni kina nani? Wewe unadhani akina DK. Slaa, MMM, et al siyo wananchi?Mleta uzi una akili changanyikeni kama za akina Dr. Slaa, MMM, et al ambao kwa asili ni wana ccm mamboleo...
Wananchi wameshaamua... wewe ni nani hadi ukatae..??
Watu kama nyinyi hamtakiwi kabisa kuonekana ndani ya mita mia mbili toka kituo cha kupiga kura. Pigeni kura halafu nendeni nyumbani mkapumzike na kungojea matokeo. La sivyo vyombo vya dola vitawashughulikieni. #HapaKaziTu.Si bora hawa???
Nyie ccm mnatudanganya Tanzania ya maguful?
Nchi itajengwa na mtu mmoja?
Mtu ambaye amesimamia ujenzi wa barabara chini ya viwango,
Mtu aliyeshindwa kulipa wakandarasi na sasa nchi inalipa faini ya kuchelewesha malipo
Mtu aliyewapa ndugu zake nyumba za serikali,
Mtu aliyeshika wachina kwa kuvua samaki akitaka sifa kumbe hakuwa na hoja za msingi sasa nchi inaingia hasara ya mabilion kulipa fidia,
Mtu anayesema ataunda mahakama maalum ya mafisad wakati serikali yake imeshindwa hata kujaribu kuwashtaki, inalalamikia wananchi na kushika wapinzan tu.
Mtu mnafiki anayejifanya anachukia rushwa wakat anatumia gar za serikali kufanya kampen, anagawa tisheti na kofia kwenye kampeni zake, anahonga watu pesa I'll wahudhurie mikutano yake, anabeba watu kwa malori kwenda kwenye mikutano yake, RUSHWA TUPU.
Mtu ambaye anaikosoa na kuilalamikia serikali ambayo yeye bado ni Waziri katika baraza la mawaziri na hesimi amefanya nn kuondoa kero za wananchi akiwa kama mshaur wa rais kama Waziri,
Mtu asiye na utu wala huruma kwa wananchi wanyonge, alisema wapige mbizi, wasambaze vinyesi barabarani viwe lami,
Mtu aliyeishiwa hoja na kutaka ikulu kwa kutisha watu kuwa wakichagua upinzani itatokea vita maana yake n kuwa hayupo tayari kukubal maamuz ya wananchi kuikataa ccm,
Mtu ambaye hawez kupanga wazimamiz vizur hadi aende saiti akasimamie mwenyewe, sasa rais akienda saiti sjui itakuwaje?
Mtu ambaye hana uzoefu wa uongoz, hajawah hata kuwa baloz wa nyumba kumi kwenye chama.
Mtu ambaye hajui kingereza vizuri
Mtu ambaye anatumia kiki ya kusalimia watu kwa makabila kwenye kampeni wakati watanzania tunaunganishwa kwa kiswahili.
Mtu ambaye anapiga push up jukwaan mbela ya watoto na wajukuu wkat hana hata historian ya kwenda Jim,
Mtu ambaye anadhihaki afya ya mwenzie wkat yy alienda kwa babu wa loliondo kugonga kikombe.
Mtu ambaye so and so and soooo.
Yeye na sisi. Wembe unakuja!Wewe na nani?
Jisemee nafsi yako!
Ni haki yako kikatiba kuchagua kiongozi yoyote lakini haitaondoa ukweli katika msingi wa mada yangu.
Hawa ndiyo madereva wa gari la CHADEMA ndiyo maana wanatuomba tuwape kura ili gari la taifa walikimbize katika speed ya 120Km/h.Cdm na ukawa tunahadhina kubwa ya wachapakazi, hao wazee ni washauri tu..
Si bora hawa???
Nyie ccm mnatudanganya Tanzania ya maguful?
Nchi itajengwa na mtu mmoja?
Mtu ambaye amesimamia ujenzi wa barabara chini ya viwango,
Mtu aliyeshindwa kulipa wakandarasi na sasa nchi inalipa faini ya kuchelewesha malipo
Mtu aliyewapa ndugu zake nyumba za serikali,
Mtu aliyeshika wachina kwa kuvua samaki akitaka sifa kumbe hakuwa na hoja za msingi sasa nchi inaingia hasara ya mabilion kulipa fidia,
Mtu anayesema ataunda mahakama maalum ya mafisad wakati serikali yake imeshindwa hata kujaribu kuwashtaki, inalalamikia wananchi na kushika wapinzan tu.
Mtu mnafiki anayejifanya anachukia rushwa wakat anatumia gar za serikali kufanya kampen, anagawa tisheti na kofia kwenye kampeni zake, anahonga watu pesa I'll wahudhurie mikutano yake, anabeba watu kwa malori kwenda kwenye mikutano yake, RUSHWA TUPU.
Mtu ambaye anaikosoa na kuilalamikia serikali ambayo yeye bado ni Waziri katika baraza la mawaziri na hesimi amefanya nn kuondoa kero za wananchi akiwa kama mshaur wa rais kama Waziri,
Mtu asiye na utu wala huruma kwa wananchi wanyonge, alisema wapige mbizi, wasambaze vinyesi barabarani viwe lami,
Mtu aliyeishiwa hoja na kutaka ikulu kwa kutisha watu kuwa wakichagua upinzani itatokea vita maana yake n kuwa hayupo tayari kukubal maamuz ya wananchi kuikataa ccm,
Mtu ambaye hawez kupanga wazimamiz vizur hadi aende saiti akasimamie mwenyewe, sasa rais akienda saiti sjui itakuwaje?
Mtu ambaye hana uzoefu wa uongoz, hajawah hata kuwa baloz wa nyumba kumi kwenye chama.
Mtu ambaye hajui kingereza vizuri
Mtu ambaye anatumia kiki ya kusalimia watu kwa makabila kwenye kampeni wakati watanzania tunaunganishwa kwa kiswahili.
Mtu ambaye anapiga push up jukwaan mbela ya watoto na wajukuu wkat hana hata historian ya kwenda Jim,
Mtu ambaye anadhihaki afya ya mwenzie wkat yy alienda kwa babu wa loliondo kugonga kikombe.
Mtu ambaye so and so and soooo.
Kwa hiyo hao wanakazi gani ndani ya gari inayoendeshwa na Lowassa akisaidiana kwa karibu na Mzee Kingunge, Sumaye na Mwapachu?F. Mbowe, Lisu, Lembeli, Bulaya, Myika, Mdee, Silinde, Msigwa, Mtatiro, Wenje, Mkosamali, Kafilila, Lema, na wengine wengi.. Mabadiliko ni lazima..
Hao ndiyo wanamabadiliko wanasema watawakimbiza watanzania kimaendeleo katika speed ya 120Km/h.Acha kutudhalilisha Watanzania bwana. Kingunge na Sumaye, lowassa na Sumaye? Kweli? LABDA Tanzania yenye MAFISADI WALIOKUBUHU
Maji ya kifuu chungu kaona bahari. Tanzania ina watu karibu ml 40
Nimekuelewa mkuu tena sana bali hapa tunajenga hoja ili baadae kufika mahali tukasema ahaaa!Nadhani hujaelewa mantiki ya thread yangu!
Unachosahau ni kuwa, Mandela hakuwahi kuwa sehemu ya chama na serikali iliyokuwa madarakani katika kipindi chote cha maisha yake kabla hajapata nafasi ya kuwatumikia wanancho wote.
Hawa wazee wetu wameingia kwenye chama na serikali ya CCM wakiwa vijana wadogo mpaka wamekuwa vikongwe wakiwa bado ndani ya chama na serikali iliyoko madarakani.
Leo baada ya kuwa vikongwe wanatuambia wanataka mageuzi ya kuwakimbiza watanzania kimaendeleo katika speed ya 120 Km/h. Kama vile ninaota ndoto ya mchana!