Hii ndiyo orodha ya marais wa Tanzania

Hii ndiyo orodha ya marais wa Tanzania

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
1. Julius Kambarage Nyerere 1961 - 1985 Anatokea Kaskazini mwa Tanzania, Mkoa wa Mara

2. Ally Hassani Mwingyi 1985 - 1995 Anatokea mashariki mwa Tanzania, Zanzibar

3. Benjamini William Mkapa 1995 - 2005 Anatokea Kusini mwa Tanzania, mkoa wa Mtwara

4. Jakaya Mrisho Kikwete 2005 - 2015 Anatokea mashariki mwa Tanzania mkoa wa Pwani

5. John Pombe Maguguli 2015 - To date Anatokea Kaskazini mwa Tanzania, mkoa wa Geita (Chato Zamani ilikuwa ni sehemu ya Wialaya ya Biharamulo mkoani Kagera.

Biharamulo ilipogawanywa ndipo ikapatikana wilaya ya Chato ikiwa ndani ya mkoa huo huo wa Kagera. Baadaye ulipozaliwa mkoa wa Geita ndipo Chato ikahamishiwa mkoani Geita.

Ukitaka kubaki kizamani unaweza kusema JPM anatokea mkoa wa Kagera Kaskazini mwa Tanzania.
 
Kwani tulikuwa hatuijui hiyo orodha, wewe sema lengo lako ni nini
 
Pamoja na idadi hiyo ya marais, lakini bado tunahangaika na kukamata MAKOKORO ya wavuvi.
 
Nyerere na Magufuli wanatoka KASKAZINI mwa Tanzania na kunawaliojiapisha Rais hatatoka kaskazini aaah Nawaza tu
 
Ujakosea na upo ,, mimi ni Mtanzani napaswa kujua n'a nivyema kujua unaongonzwa namtu wainagani, uwendane nawakat
 
1. Julius Kambarage Nyerere 1961 - 1985 Anatokea kaskazini mwa Tanzania, Mkoa wa Mara
2. Ally Hassani Mwingyi 1985 - 1995 Anatokea mashariki mwa Tanzania, Zanzibar
3. Benjamini William Mkapa 1995 - 2005 Anatokea kusini mwa Tanzania, mkoa wa Mtwara
4. Jakaya Mrisho Kikwete 2005 - 2015 Anatokea mashariki mwa Tanzania mkoa wa Pwani
5. John Pombe Maguguli 2015 - To date Anatokea kaskazini mwa Tanzania, mkoa wa Geita (Chato Zamani ilikuwa ni sehemu ya Wialaya ya Biharamulo mkoani Kagera. Biharamulo ilipogawanywa ndipo ikapatikana wilaya ya Chato ikiwa ndani ya mkoa huo huo wa Kagera. Baadaye ulipozaliwa mkoa wa Geita ndipo Chato ikahamishiwa mkoani Geita. Ukitaka kubaki kizamani unaweza kusema JPM anatokea mkoa wa Kagera Kasikazini mwa Tanzania.
Sasa umeleta hii thread ili tuchangie nini?
 
Back
Top Bottom