Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Mtambo wa kuchakata gesi wa Madimba, Mtwara
KATIKA kuhakikisha sekta ya mafuta na gesi asilia inafanikiwa, uimarishaji wa miundombinu ni jambo la msingi ambalo serikali ya Tanzania imejizatiti kulitekeleza.
Licha ya kuwepo kwa wawekezaji wengi, lakini miundombinu inapaswa kumilikiwa na serikali yenyewe kama inataka kuwa mshiriki wa moja kwa moja na kusimamia mazao na mapato yatokanayo na rasilimali hizo.
Miongoni mwa miundombinu hiyo ni pamoja na bandari, bomba la gesi, mitambo ya kuchakata gesi asilia, mitambo ya kufua umeme wa gesi, mtambo wa kusindika gesi ya kimiminika, barabara, reli na mambo mengine kadha wa kadha.
FikraPevu inaangalia baadhi ya miundombinu hiyo na ni kwa namna gani serikali imejitahidi kuimarisha.
Soma zaidi hapa => Hii ndiyo miundombinu muhimu ya gesi Tanzania | Fikra Pevu