Hii ndiyo kazi ngumu kuliko kazi zote!

Kila kitu ufanyacho kinasababishwa na swichi mmoja tu akilini. Jamaa unaweza kuta hapo mpaka anamaliza kazi Jogoo hajamsumbua maana akili imejielekeza kufanikisha hiyo kazi.

Mhm hapo kaka tunadanganyana...papuchi unaiona Ile alafu ushindwe kuwaza kugegedana. Hilo nakataaa kabisaaa.
 
Kama kuna post zimetangazwa nipatie mkuu...namimi ni painter...
Zipo sema kwa siri kama hawa mnawaita masebrit wengi wanawekwa tatoo kwenye matiti mpaka chini ya vitovu. Akiwafuatilia akina Ubaya Spade usishangae kukuta hayo.
 
Hahahahahahaha.... Sidhani kama hawa jamaa wanakuwaga na nguvu za kiume tena.

Zamani mababu zetu hata kulala na wife tu walikuwa wanakatazwa, walikuwa wanalala naye siku ya tukio.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…