Hii ndiyo ilikuwa post yangu fb August 10,kufuatia matamko makali ya LOWASA NA SITTA JUU YA MGOGORO WA ZIWA NYASA,hapo KIKWETE alikuwa hajajitokeza kuwahakikishia WAMALAWI kwamba hakuna vita na wajisikie shwari,nimeamua niipost upya kufuatia Uamzi wa JOYCE BANDA Kujitoa ktk mazungumzo juu ya mgogoro, post ilikuwa hivi
"kuweka msimamo wetu kama TAIFA juu ya mgogoro wa ziwa Nyasa na wenzetu malawi ilikuwa ni hatua muhimu na ya lazima(Kwenye chemistry this is called a necessary step towards reaction),bila kuweka masimamo wetu wa kwamba tuko tayari kama taifa kulinda nchi yetu na mipaka yake kwa GHARAMA YOYOTE wamalawi wasingeweza kulipa uzito swala la majadiliano makini(serious) yenye malengo mahususi ya kufikia mwafaka. BRAVO LOWASA,BRAVO MEMBE,BRAVO SITTA,BRAVO AMIRI JESHI MKUU.