Hii ndiyo dunia inayotuacha Uchi Watazamaji.

Hii ndiyo dunia inayotuacha Uchi Watazamaji.

RUM. :1:26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;

RUM. :1:27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.

RUM. :1:28
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
 
Huu ushamba wa kusema Tigo imeanza kuliwa wakati huu sijui mtauacha lini!.. Tigo imeanza kuliwa toka zamani washamba nyie au kwenye biblia SODOMA na GOMORA ilichomwa kisa wizi wa kuku!?..
 
Zamani kidogo ilikuwa ni ujanja sana kwa vijana kutumia mtandao wa Voda,ata kwenye maongezi ilikuwa unaonekana wa ajabu kama utasema ulishawahi kutumia mtandao tofauti na huo.

Hakuna aliyekuwa inspire wa kutumia mitandao mingine zaidi ya Voda pekeee

Lakini siku hizi tangu utandawazi ushike atamu vijana wamebadilika ,

Siyo mtoto ,siyo kijana ,siyo mkubwa wote wanataka kutumia Tigo.

Mtandao huu wa tigo umekuwa maarufu sana siku hizi,

Vijana bila Aibu wanajirecord video na kuzituma kwa magroup ya whatsapp ama kwa marafiki zao jinsi vile walivyokuwa wanautumia mtandao wao pendwa wa Tigo.

Hakuna uoga tena,hakuna hofu ya mungu tena,hakuna anayehofia kwa chochote na hakuna anaesikia kuhusu madhara na dhambi kuu ya matumizi ya mtandao huu wa tigo.

Jamii iko Addicted sana zaidi ya muadhirika wa madawa ya kulevya,

Leo siyo Ajabu kufungua begi la kijana humo ukakuta mafuta (KY) au mafuta ya Aina yeyote na hiyo ni kwa sababu ya kazi moja tu kutumia kwenye mtandao wao wa Tigo.

Leo pia sio Ajabu kukutana na vijana wa kike wakisimuliana jinsi walivyokuwa wanatoa mtandoa (tigo) kwa maboyfriend zao siku ya jana yake walipokutana .

Leo siyo ajabu kuona msichana akikuagiza kabisa kuja na mafuta wakati unazungungumza nae kuhusu swala la kuonana nae.

Tuko kwenye Dunia mpya ,dunia isiyo na stara,dunia yenye kila Aina ya matendo ya Ajabu, Dunia inayotuacha uchi watazamaji.


Lakini mwisho wa siku yote yatapita ,kila kilichomo ni ubatili mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
They say Tigo is the new Voda
 
Mambo ya Pwani na Dar es salaam, mikoani sisi bado washamba na hatutaki hayo.. Endeleeni kupromote tu, God will judge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie upo mkoa gani tubishane hapa. Na nakuhakikishia kuwa tutabishana mpaka kuche maana mimi ni mzururaji na travelling is my hobby. Huko mikoani kwenu nimeshuhudia mengi mno toka kwa hawa wadada..
 
Upo mkoa gani mkuu..
Aisee, kikubwa tupige vita haya Mambo kwakuwa yapo almost kila sehemu, ila ninyi Dsm na Pwani yote kila kitu mnakifahamu kwa marefu na mapana, mtuongozee mapambano haya kama ilivyo kwa dawa za kulevya kama cocaine, heroine, mandrax, na kila aina ya uchafu unaokamtwa bandarin, airport, na majumbani. Sisi huku Bangi na mirungi rahisi kukamata kama ilivyo kwa mtoto wa kiume akilegeza kiuno lazima tu deal naye. Na mara nyingi tukiwafukuza huku ninyi huko mnawafuga [emoji41] eti mpo bize kila mtu kivyake.
Tuokoe kizazi hiki vinginevyo idadi ya WANAUME tunapungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ushamba wa kusema Tigo imeanza kuliwa wakati huu sijui mtauacha lini!.. Tigo imeanza kuliwa toka zamani washamba nyie au kwenye biblia SODOMA na GOMORA ilichomwa kisa wizi wa kuku!?..
Hivi jamaa si anazungumzia Tanzania?. Mi nimemuelewa sana sana zamani sio zaman sana nchini ilikuwa ni laana hata kuzungumzia tu Tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, kikubwa tupige vita haya Mambo kwakuwa yapo almost kila sehemu, ila ninyi Dsm na Pwani yote kila kitu mnakifahamu kwa marefu na mapana, mtuongozee mapambano haya kama ilivyo kwa dawa za kulevya kama cocaine, heroine, mandrax, na kila aina ya uchafu unaokamtwa bandarin, airport, na majumbani. Sisi huku Bangi na mirungi rahisi kukamata kama ilivyo kwa mtoto wa kiume akilegeza kiuno lazima tu deal naye. Na mara nyingi tukiwafukuza huku ninyi huko mnawafuga [emoji41] eti mpo bize kila mtu kivyake.
Tuokoe kizazi hiki vinginevyo idadi ya WANAUME tunapungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Now you are talking. Ulitaka kuwasingizia wanaume wa Dar wakati huko mikoani mpaka watoto wa Primary wanagawa tigo kaka. Nani aliwafundisha kama sio nyie mnaojiita wanaume wa mikoani. Kikubwa tukemee kwa nguvu zote hii laana..
 
Inasikitisha ila nguvu kubwa mnayo wanaume mkisema basi hatutaki hii kitu itaisha
Hilo ni kweli japo na wadada mna nafasi yenu. Unakuta mdada anakwambia mi nataka kuku. Na muda anaotaka kuku ni saa tisa au kumi za usiku. Huyo kuku unamtoa wapi muda huo? Na usipomuelewa ndio dharau zinaanza na kama ujuavyo wanaume hatupendi dharau.
 
Hivi jamaa si anazungumzia Tanzania?. Mi nimemuelewa sana sana zamani sio zaman sana nchini ilikuwa ni laana hata kuzungumzia tu Tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi umeanza tambua watu wanakula tigo baada ya jina Buzz kufa!?..
Toka zamani mambo yapo Tz na kwa uwazi!.. au neno *kufira* limeanza baada ya tigo kujulikana?. Nitakuletea kitabu fulani jamaa kaenda nunua malaya kipindi hiko magomeni akaulizwa anajua style hiyo!?..
 
Biblia inasema siku za mwisho binadamu watakengeuka na watakuwa wa kujipenda wenyewe sana.
Lakin haya yote hakuna geni zaidi zaidi tusubiri siku mwana wa Adamu atapokuja maana kila kitu dunia hii ni ubatili mtupu.
Kila mmoja apiganie nafsi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom