Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
Hakuna cha ajabu wala kipya, Kwa Tanzania hii inayoongozwa na Raisi JK mbona inawezekana tu!!
nawasiwasi rais ajaye anaweza kukuta BOT Empty!!!uchaguzi 2015 unakuja halafu wamemuweka injinia hapo..heheheheeh..kiama!!
Mwigulu ni lulu. Kila mahala anahitajika na panamfaa
wacha akuze uchumi sasa....
Mwigulu ni lulu. Kila mahala anahitajika na panamfaa
No kweli kabisa hana maadili kama baba yuko hivyo watoto wake watakuwaje!!?Mwigulu anaweza kuwa anafaa ila tatizo lake hana maadili.Kwa nchi kama china mwenye kosa kama hilo hunyongwa hadharani.
Mwigulu anaweza kuwa anafaa ila tatizo lake hana maadili.Kwa nchi kama china mwenye kosa kama hilo hunyongwa hadharani.
jk kweli anachekesha,,yaani gaidi unampa wizara ya fedha??nchemba ana experience ya kuvuruga usalama wa taasisi na watu walio kinyume na serikali ya ccm,kumfanya waziri wa mambo ya ndani ni sawa sawa na kubinafsisha wizara...hata hii aliyopewa ni tusi kwa walipa kodi kwa maana rafu atakayocheza itawaumiza na wasiokuwa wanachama wa chama chochote cha siasa!
kaka mbona unakuwa mzito...? uchumi wao na mafisadi wenzake!Akuze uchumi kwa mwaka mmoja uliobaki, sidhani.
Mkuu, mbona mara zote unakuwa unawatetea akina Mbowe na Slaa wakati wao ni mfano mbaya kwenye jamii?
Wakuu mnaonaje kuteuliwa kwa mhe. Mwigulu Nchemba kushika nafasi ya unaibu waziri wa fedha?
Licha ya mhe. Nchemba kuwa na taaluma inayohusiana na masuala ya fedha, lakini anaonekana ana experience kubwa na masuala ya usalama. hivyo kwa mimi binafsi napendekeza huyo mhe. apelekwe wizara ya mambo ya ndani, tena akaimu nafasi ya waziri kamili.
Nawasilisha.