Hii ndio wizara inayomfaa mhe. Mwigulu Nchemba

Hii ndio wizara inayomfaa mhe. Mwigulu Nchemba

Status
Not open for further replies.
Toa hoja hafai kwa nini siyo unakurupuka kuandika tu na amepewa kwa ajili ya fadhila ni fadhila gani izo!

mkuu nadhani haujamuelewa mchangiaji, kasema 'fadhira' wewe unakurupuka na kudhani mchangiaji anaongelea 'fadhila'
 
Mwigulu ni lulu. Kila mahala anahitajika na panamfaa
 
nachelea kusema kuwa uwaziri wa mambo ya ndani mwigulu angepewa watu wengi wangengolewa kucha na kukatwa nyeti kama sehemu ya kutokomeza sauti za watu wanaoitwa wanaharakati na wapinga ccm. watu wangeisha watoto wetu kwa mwaka huu tu wangejifunza matusi na lugha chafu maana angekuwa msemaji na mropokaji katika kila tukio.

na mauaji yasiyoeleweka yangezidi na huku pandikizo la chuki miungoni mwa wanajamii lingekuwa kubwa. matabaka yangekomaa ya kidini na kisiasa. kwa kutengeneza matukio ya ugombanishi.
usalama wa nchi ungetikisika na tungeweza hata kuingia katika machafuko.
mwigulu hafai kuongoza wizara yoyote abaki tu kuwa mbunge au mtendaji wa kawaida wa serikali. pamoja na elimu yake busara ya uongozi hana na anaendeshwa zaidi na hisia kuliko fikra. uwaziri unahitaji maamuzi yaliyotulia na miipango iliyotulia yenye malengo ya kimaendeleo. sio mipango ya kulipiza visasi wa chuki.
 
Nchemba hafai kuwa waziri wala naibu. Sema anapewa vyeo vya fadhira tu.
Mkuu, naona inakuuma sana uteuzi wa Mwigulu. Wewe ulipaswa kupumua sasa maana Mwigulu alikuwa anwahenyesha sana bungeni
 
wakuu mnaonaje kuteuliwa kwa mhe. Mwigulu nchemba kushika nafasi ya unaibu waziri wa fedha?
Licha ya mhe. Nchemba kuwa na taaluma inayohusiana na masuala ya fedha, lakini anaonekana ana experience kubwa na masuala ya usalama. Hivyo kwa mimi binafsi napendekeza huyo mhe. Apelekwe wizara ya mambo ya ndani, tena akaimu nafasi ya waziri kamili.
Nawasilisha.

unaweza kuanisha experience yake ya ulinzi ambayo amewahi kufanya ??
 
nachelea kusema kuwa uwaziri wa mambo ya ndani mwigulu angepewa watu wengi wangengolewa kucha na kukatwa nyeti kama sehemu ya kutokomeza sauti za watu wanaoitwa wanaharakati na wapinga ccm. watu wangeisha watoto wetu kwa mwaka huu tu wangejifunza matusi na lugha chafu maana angekuwa msemaji na mropokaji katika kila tukio.

na mauaji yasiyoeleweka yangezidi na huku pandikizo la chuki miungoni mwa wanajamii lingekuwa kubwa. matabaka yangekomaa ya kidini na kisiasa. kwa kutengeneza matukio ya ugombanishi.
usalama wa nchi ungetikisika na tungeweza hata kuingia katika machafuko.
mwigulu hafai kuongoza wizara yoyote abaki tu kuwa mbunge au mtendaji wa kawaida wa serikali. pamoja na elimu yake busara ya uongozi hana na anaendeshwa zaidi na hisia kuliko fikra. uwaziri unahitaji maamuzi yaliyotulia na miipango iliyotulia yenye malengo ya kimaendeleo. sio mipango cha kulipiza visasi wa chuki.
Kwa jinsi ulivyomueleza Nchemba, umempa sifa ya ujasiri na ukakamavu. Unampa sifa kuwa anaweza kupambana na kila aina ya maadui bila ya kuogopa. Kwangu naona kuwa kama Nchemba angekuwa waziri wa Mambo ya Ndani, ni wazi kuwa huu ujinga unaojitokeza wa watu kutukana hovyo viongozi wa serikali ungeisha kabisa. Pia huu ujinga wa watu kujiteka na kujilipua kwenye mikutano yao ungeisha kabisa
 
Kwa tz inapoelikea kama mwigulu ni naibu wazri basi kuna siku tutasikia mbwa ni kiongozi tz ninapita
 
Kwa jinsi ulivyomueleza Nchemba, umempa sifa ya ujasiri na ukakamavu. Unampa sifa kuwa anaweza kupambana na kila aina ya maadui bila ya kuogopa. Kwangu naona kuwa kama Nchemba angekuwa waziri wa Mambo ya Ndani, ni wazi kuwa huu ujinga unaojitokeza wa watu kutukana hovyo viongozi wa serikali ungeisha kabisa. Pia huu ujinga wa watu kujiteka na kujilipua kwenye mikutano yao ungeisha kabisa

viongozi hawatukanwi wanaambiwa ukweli mkavu unaouma. kitu ambacho hakikuwa katika tamaduni zetu hapo awali. sijaona matusi. labda huko uraiani. na la kujiuliza ni kwa nini viongozi watukanwe kama unavyodai ikiwa wanatenda majukumu yao ipasavyo? ujui kuna udhaifu sehemu.
ila nikuulize hao unaosema wanatukana viongozi wanamshinda mwigulu kwa matusi ya nguoni? mwigulu anaweza kukutusi wewe na familia yako. ikiwa anatukana mbele ya hadhara ( bungeni) mikutanoni atashindwa kukutusi ukiwa nae uso kwa uso pasipo kamera?
 
Mwigulu ni lulu. Kila mahala anahitajika na panamfaa

Mwingulu hafai hata kujadiliwa humu jamvini..

Kiongozi anatakiwa kuwa mfano..

Huyu kwangu siyo kiongozi.. :thumbdown:
 
Mwingulu hafai hata kujadiliwa humu jamvini..

Kiongozi anatakiwa kuwa mfano..

Huyu kwangu siyo kiongozi.. :thumbdown:
Mkuu, mbona mara zote unakuwa unawatetea akina Mbowe na Slaa wakati wao ni mfano mbaya kwenye jamii?
 
  • Thanks
Reactions: prs
viongozi hawatukanwi wanaambiwa ukweli mkavu unaouma. kitu ambacho hakikuwa katika tamaduni zetu hapo awali. sijaona matusi. labda huko uraiani. na la kujiuliza ni kwa nini viongozi watukanwe kama unavyodai ikiwa wanatenda majukumu yao ipasavyo? ujui kuna udhaifu sehemu.
ila nikuulize hao unaosema wanatukana viongozi wanamshinda mwigulu kwa matusi ya nguoni? mwigulu anaweza kukutusi wewe na familia yako. ikiwa anatukana mbele ya hadhara ( bungeni) mikutanoni atashindwa kukutusi ukiwa nae uso kwa uso pasipo kamera?
Umeona jinsi ulivyojimix? Ulianza kwa kutetea matusi kutoka kwa watukanaji unamalizia kulaani matusi ya Mwigulu Nchemba. Sina hakika kama unamsikilizaga Mwigulu. Katika watu ambao wanaongea kwa hoja bila matusi ni huyu Mheshimiwa. Sasa sijui unaweza kutoa mfano wa tusi moja tu ambalo Mwigulu alilitoa bungeni?
 
Usalama gani unaouzungumzia ambao mwigulu anauzoefu nao, kuwatengezea Lwakatale kesi ya ugaidi, kumuamuru kamanda wa police Mbeya kutoa mafunzo kwa vijana wa ccm greenguard kwa ajili ya kuendesha mauaji dhidi ya Chadema kipindi cha uchaguzi, kutengeneza mipango ya kuteka watu na kuwang'oa kucha, meno, kuua na kutoboa watu macho, rejea mawasiliano ya email kati ya Nchimbi, Mwigulu Ya kimhusisha na msaliti Zitto, baada kifo cha Dr Sengondo mjumbe wa tume ya katiba mpya, au ni usalama gani unaousema wewe, angalia wizara yenyewe hiyo aliyopewa, hakuna watu hapo kuanzia huyo mdada ambaye ndiye waziri wa fedha, lengo la ccm nikuta kuchukua fedha kiurahisi, na zingine kuingiza kwenye chama.
 
Huyu bado ajarekebisha CV yake!!
1)Kutoka O level na kusomea Masters degree moja kwa moja!!
2)Masters degree kwa miaka 5 (1984-1989)!!
3)Masters ya Economics na kwenda kusoma Post Graduate Diploma ya Economics!!
4)Masters ya Economics > Post Graduate Diploma ya Economics > Masters ya Economics(again)!!!

[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1426.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Adam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Kighoma Ali[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Malima[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mkuranga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O.Box 2000, Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 784 612 020/+255 713 612 020[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]amalima@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]26 June 1966[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Upanga Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shaban Robert Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Hauana (Cuba)[/TD]
[TD="align: center"]MSc. (Economics)[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Univesity of London (SOAS)[/TD]
[TD="align: center"]Post Graduate Diploma (Econ)[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]POSTGRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of London (SOAS)[/TD]
[TD="align: center"]MSc. (Econ)[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From Date[/TH]
[TH="align: center"]To Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Private Consultants[/TD]
[TD]Business Consultant[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Energy and Minerals[/TD]
[TD]Deputy Minister[/TD]
[TD="align: center"]2/13/2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pwani Finance Business Consultants[/TD]
[TD]Consultant[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank Of Tanzania (BOT)[/TD]
[TD]Financial system[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wakuu mnaonaje kuteuliwa kwa mhe. Mwigulu Nchemba kushika nafasi ya unaibu waziri wa fedha?
Licha ya mhe. Nchemba kuwa na taaluma inayohusiana na masuala ya fedha, lakini anaonekana ana experience kubwa na masuala ya usalama. hivyo kwa mimi binafsi napendekeza huyo mhe. apelekwe wizara ya mambo ya ndani, tena akaimu nafasi ya waziri kamili.
Nawasilisha.

Ni kweli kabisa, hata Mwangosi, kule Nyororo alivunja amani. Akapata alichostahili.
 
Shida yako nini? CV au kazi? kama shida ni CV weka hapa CV ya Mbowe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom