LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,977
- 37,879
Mwaka 1995, jamaa mmoja mwenyeji wa Tarime mkoani Mara aliye kuwa akiishi na wanawake wapatao saba katika himaya yake iliyopo katika eneo la Bugarika jijini Mwanza, alifanya tukio moja ingawa lilikuwa la kikatili lakini lilimfanya aishi maisha yake yote yaliyo baki bila kuwa na hata chembechembe ya wasiwasi wa kuwa cheated na yoyote kati ya wakeze.
Ni hivi, wakati fulani mnamo mwezi Agosti mwaka 1995, jamaa huyo alipata safari ya kwenda Musoma mjini ambako angekaa kwa muda wa mwezi mmoja, hata hivyo, alicho kifuata alifanikiwa kukikamilisha ndani ya siku tatu, basi baada ya kukamilisha kilicho mpeleka mjini Musoma, jamaa alirudi zake hadi Mwanza, alipofika Mwanza, break ya kwanza ikawa ni nyumbani kwake, kwenye mji wa mke wake wa sita ( bi mdogo kuliko wote ), kwa mshangao wake, alimkuta mke wake akiwa ana binjuka na njemba moja doezi.
Basi jamaa alicho kifanya, alinyofoa jambia lake ( wanaume wa kikurya hutembea na mapanga/majambia muda wote ili kujilinda na hatari yoyote itakayo jitokeza kama ambavyo w azaramo/watanga/ warangi etc hutembea na hirizi ), na kuwatenganisha wagoni wake ( mke pamoja na dowezi) katika vipande vipande..
Baada ya hapo jamaa alichukuwa akapelekwa polisi, mahakamani, siku ya hukumu akafungwa miezi sita. Defence ya Provocation ilimsaidia saidia. Unaambiwa watu walitokea kuuogopa sana mji wa huyo jamaa, kuanzia katika kipindi chote jamaa akiwa rumande ( miaka miwili ) na kifungo (miezi sita ).
Alipotoka gerezani ilikuwa heshima, he was feared by people and spirits,vijana walijiweka mbali na si tu wake zake bali hata mabinti zake, walio wataka mabinti zake walienda kutoa posa kwa heshima zote. Hadi leo hii jamaa, anaendelea na maisha yake akiwa na wake kumi na wawili na sasa yupo Kitunda jijini Dar Es salaam.
Ni mzee wa miaka sitini na, lakini habari zake zinafahamika na watu wanamuheshimu sana.
KWA MAONI YANGU, HUYU JAMAA, NDIO MWANAUME, ALIYE TENGENEZA PRECEDENT BORA KULIKO ZOTE KATIKA MAHUSIANO.