Uchaguzi 2020 Hii ndio Tanga ya Rais Magufuli (2015 - 2020)

Tanga bandari imekufa haifanyi kazi mwaka wa 5 sasa ajira zimepotea
Viwanda vimekufa
Barabara mbovu mjini kote
Maji hata mjini niachafu
Ugomvi binafsi na Kenya kumeharibu biashara Tanga.
Bomba lipo kwenye radio bado sana na uganda wameanza kusafirisha crude kwa magari
Tanga kura kwa Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mitano tena asubui tu mpaka saa nne magufuli atakua anaongoza kwa asilimia 90

Kama mwaka 2015 Magufuli alipata 58% ya kura zote pamoja jitihada za kura za kughushi na wizi usitegemee mwaka huu kuwa na muujiza wa kupata 90%!

Unless NEC waamue kutumia COOKED DATA! Na hapo ndipo mwanzo wa matatixo makubwa.....!!!!This time around Watz wanataka a FREE&FAIR ELECTION, nje ya hapo yajayo yatasikitisha!
 
Hahaha hivi hakuna aliyempelekea Gwajima a.k.a Chid boy?!

Akianza kulia, nileteeeeeeeeni Gwajima lazima tumrudishe chato.
 
Ukiona unaswagwa ujue wewe sio binaadamu kamili. Tunaojielewa tunamuelewa JPM vyema kabisa
Mpuuzi wewe wenye chama wanajengewa nyumba wewe upo kwenye chumba kimoja cha kupanga na watoto wako 4, utakula mihogo mpaka ufe, watoto wako wenyewe wanakiliba tumbo lishe duni. Endelea kushangilia matatizo
 
Back
Top Bottom