Ugeugeu ni moja ya ilani ya chama ambayo imo moyoni sio kimaandishiChadema walisema ACT ni ya Lowasa, baadae Lowasa akawachukua wao!
Chadema walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.
Chadema walisema atakayemchagua Lowasa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowasa kuwa mgombea wao wa Uraisi
Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.
Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!
Ha kumbe unataka ligi we punda beba mzigo watu wanufaike uweze danganya mtu kadanganye ma bosi wako kwaiyo ulitaka chadema kupambana wenyewe zidi ya majizi ya ccm. Kama watu wamekubali kuungana kwa lengo moja shida ipo wapi. Hopely your sick and I lack the name of ur illinessmwisho wa Iq yako kufikiri, asante kwa kuchangia
2020 TUTASEMA WEWE UNAMATATIZO YA AKILI MAANA UNAONGEA VISIVYO NA MAANAChadema walisema ACT ni ya Lowasa, baadae Lowasa akawachukua wao!
Chadema walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.
Chadema walisema atakayemchagua Lowasa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowasa kuwa mgombea wao wa Uraisi
Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.
Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!
Chadema walisema ACT ni ya Lowasa, baadae Lowasa akawachukua wao!
Chadema walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.
Chadema walisema atakayemchagua Lowasa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowasa kuwa mgombea wao wa Uraisi
Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.
Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!
ndio shida ya kumuamini dj wa club ya starehe kama kiongozi wa chama cha siasa.Chadema walisema ACT ni ya Lowasa, baadae Lowasa akawachukua wao!
Chadema walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.
Chadema walisema atakayemchagua Lowasa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowasa kuwa mgombea wao wa Uraisi
Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.
Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!
sio mimi mkuu hayo waliongea viongozi wako wa Chadema kama vilikuwa havina maana washangae wao kwa nini huwa wanaitisha press na kuwambia watz visivyo na maana.2020 TUTASEMA WEWE UNAMATATIZO YA AKILI MAANA UNAONGEA VISIVYO NA MAANA
Tatizo lao kubwa hawapendi kusikia jambo kukosolewa utatukanwa mpaka basi.CHADEMA wasipobadili mikakati yao na kuifanya iwe ni ya Kimaendeleo zaidi kuliko Visasi au Uhasama au kuendekeza uwongo, majungu na chuki nina wasiwasi kama hadi 2020 Watakubalika tena na Watanzania kama ilivyokuwa 2015. Ni Chama kizuri mno ambacho kinasaidia kuishtua CCM na Serikali yake ili isijisahau katika kuwaletea Maendeleo Watanzania ila kwa trend yao ya hivi karibuni naliona anguko kubwa la CHADEMA hivi karibuni. Nadhani kuna tatizo mahala ndani ya Utawala / Uongozi wao wa juu kabisa.