Mazee kuna watu wananunua Hizo Bundle I see amini usiamini na ni wabongo wa kawaida tu
Mimi kuna siku nimemtembelea jamaa nilishangaa anasema yeye hatumiagi mitandao ya kijinga jinga tokea Smile wameanza kazi...
Ila dawa yao moja hawa kuwapenya Firewall Quishney:cool2:
khaaaaa hiyo 200GB kwa 1.4M wanakupa na laptop core i.7 ?
Mazee kuna watu wananunua Hizo Bundle I see amini usiamini na ni wabongo wa kawaida tu
Mimi kuna siku nimemtembelea jamaa nilishangaa anasema yeye hatumiagi mitandao ya kijinga jinga tokea Smile wameanza kazi...
Ila dawa yao moja hawa kuwapenya Firewall Quishney:cool2:
M 1.4 = 200GB @ 4G LTE
It's Realistic !
But the hell is that, most targeted users are pathetic live under 5000/= Tsh per day !
Its seem to be unaffordable to them !
Even if Speed Relate to Price back then !
Mitandao ya kijinga? Hebu tafuta lugha nyingine bro kwa maana hata zile net za Proxy za bure mnatumia mitandao ya 'kijinga' kuzipata. Tafadhali...