Hii ndio Smile Internet

Hii ndio Smile Internet

Naitumia Mi Fi yao iko poa sana speeed hizi series hata huwa nikiweka nikienda oga narudi tayari.
Waliweka kama unazo nunua kama huna endelea na tigo, voda, airtel, ttcl

Hiyo itandao kwenye Red wala usiidharau ni moto wa kuotea mbali

Hiyo speed unayoisema ni speed ya kawaida kwangu natumia Tigo na Airtel zote zina (DC-HSPA+)42Mbps ninapoishi na Modem yangu ni Universal 4G modem napata 1.5MB/sec mpaka 3MB/sec
Kama unabishi sana tunaweza shindana kwa kuweka screenshots hapa uone kama utazidi 3MB/sec....yaani on average utapata 2.5MB/sec na kuna mda inashuka kabisa or less kwangu huku ninakoishi Smile iko poor kwa kutumia hilo modem lao jeusi...na mimi ntakulipa kwa Enhanced 3G yangu ya Airtell na Tigo sana sana Airtel ndo wana 3.75G ya uhakika
Nakupa sample moja

nlnr.png
 
Hapo kwenye red naweza kusema ni same technology ya 4G lakini 4G kama 4G ina categories zake
Navyojua SMILE wanatumia LTE FDD 800MHz na ni Category 3(CAT3) wakati kuna makampuni mengine yame employ LTE ya TDD 2300/2600 MHz ambayo ni CAT4 na mengine yame employ mpaka CAT5,sasa nafikiri makampuni yote ni 4G lakini lazima ujue kwamba yana-employ 4G katika Category,Bands na Frequency tofauti tofauti na bila shaka bei haiwezi kua moja by the fact that 4G is divided as pointed out above

Nikufuru siku zote kulinganisha US na Bongo...Jiulize Coca cola uko kwao wanauza bei gani na hapa kwetu ikoje?
I guess the same will apply on internet also regrdless of AT&T using a different 4G technology from that of Smile
Kumbe basi ni bora kufananisha 4G ya Vodacom south Africa au 4G ya MTN UG amabazo bado naona ziko juu ya smile in terms of technology used...

Ukweli utabaki kwamba hawa Smile ni wezi tu kuanzia Bundle zao na Modem/router zao tu
Ningewaona wamaana wangetumia devices za Huawei na ZTE au Alcatel ambazo unaweza pata mpaka Universal modems/routers naku-switch kutoka network moja kuja nyingine as the fact kwamba soon Vodacom nao walivyotangaza watafanya roll out nakuleta 4G hivo unakua na uhuru waku-switch in either way around

wisho kabisa,Smile nimetumia ila speed yao ya ku-download haikuni-impress sana nilikua napata 2.5MB/sec n kushuka chini abayo same speed napata na #DC_HSPA + ya Airtel rated at 42Mbps zaidi katika Uploading files ndo naona tofauti ila nikitumia Google maps na Youtube streaming sikuona tofauti mara zote,if there difference existed in all my test is a slight diffrence

Category 3 ya 4G ni LTE FDD 800/1800/2600Mhz ambako highest frequency ni 2600Mhz na lowest ni 800
Smile wanatumia 800Mhz I really doubt this issue and I guess it must be having effect in regard to perfomance,labda mtu anieleweshe kidogo hapo umuhimu wa hzi frequency

Nadhani umepotea kabisa kuhusu frequencies, frequencies have nothing to do with speed... kwa mfano wako Bell Canada is in the same category as SMILE but uses 700Mhz. Kuhusu categories difference between CAT 4 na CAT 3 ni downlink speed (150 vs 100 - theoretical)

Mfano wako wa coke has nothing to do with tech, ni different, u trade in a bottle in bongo for a new coke, supply and demand, kuna more established recycling system so still ni more than just ending it to a consumer.

Back to smile, it still stands no one has a concrete example of LTE being cheaper anywhere else, and mfano wako wa frequency is wrong... there's a good read here -> LTE Bands | LTE Frequency Bands Spectrum & Frequencies | Radio-Electronics.com about different bands, TDD na FDD and all that.
 
Nimeona umetumia neno kupotea,Hope haukusoma vizuri sentensi zangu za mwisho na siku-rely tu kwenye speed bali technology employed kwenye "I guess" yangu...thanks for a link ntasoma nielewe umuhuimu wa hizo frequeency but telling me here would have helped more

Ukiona coca imeuzwa bei ujue the same will apply to all comodities(minor point anyway ngoja tuitupilie mbali)
Sidhani kwamba sole difference ya cat3 na cat4 ni downlink speed tu... na kama umebaini speed ni tofauti na technolojia ya cat4 iko juu zaidi ya cat3 na bands ziko tofauti basi ujue hata prices hazitokua sawa and this automatically defends my point kwamba umekosea kulinganisha Smile na AT&T and as a point of addition iko ktk developed country

Claim ya wizi wa smile nikutokua na "Unlimited Bundle" nafikiri pale penye 1.4M wangeweka Unlimited hakuna mabae angeshangaa
 
The thing is hamna other example of a technology that is priced based on africa/europe/america etc, most times if it's priced cheaper in affrica ni sababu they made sacrifices in some aspects. And I still maintain mfano wa coke is different, and I'm yet to find a consistent example because it's cheaper in some aspects in bongo and the opposite in other aspects. But I'd vouch much on the model of how each business is run but other basic economic facts still stand like supply/demand, local taxes, etc.
I'd like us to stick to technology for examples.
 
Hata Airtel wana 4G LTE/4G
Upo kwenye telecom industry au unajuwa telecom industry? au ndo ukitangaziwa tu redioni basi we unaona ndivyo yalivyo..??

Haya, niambie,
1. wanatumia equipments za vender gani wa 4G LTE?
2. Walishang'oa zile equipments za 3G za huawei?
3. Wanatumia 4G LTE kwenye VOICE, DATA au vyote?
 
njunwa vp kuhusu ile injection tool ya internet, pi inasupport speed au ni kwa ajil ya nin? na ntaipataje?
 
Hivi Voda/Airtel wanacharge bei gani 200gb? Maana voda naona site yao 1gb ni 15000Tsh na airtel naona 20gb ni 235,000Tsh au sababu wao wana low entry prices ndo maana we ignore their premium prices?
 
hivi voda/airtel wanacharge bei gani 200gb? Maana voda naona site yao 1gb ni 15000tsh na airtel naona 20gb ni 235,000tsh au sababu wao wana low entry prices ndo maana we ignore their premium prices?

mimi kwa maoni yangu mitandao miwili tu tanzania amabao wana unafuu wa internet ni vodacom na tigo hata sisi watu wa chini tuna enjoy kwa 1000 tu unapata 1gb kote vodacom na tigo kwa mfano airtel anatoa gb 20 kwa laki mbili wakati tigo anatoa kwa mwezi gb 35 kwa elfu 20 tu na speed tigo wame improve sana wakati zantel wao gb 1 wanatoa kwa elfu tano kwa hiyo unaweza kuona kwa buku 5 napata gb 5 kwa speed sawa na zantel tena voda wanaenda sawa kwangu mimi naona 4g sina uwezo kabisa milion 1.4 for just 200gb i hope mkuu utuwekee screenshot ya 4g tuione na sisi kwenye idm inagonga ngapi
 
I posted once hapa screenshot, hitting high 20s on speed nikiwa likizo, sina access to SMILE but would have posted a screenshot tena.
The point is for the same quantity voda and tigo charge more but have a slower speed.
 
Too much money invested in what can be easily obtained.
These guys should come down to compete with the current prevailing market.
They are juu kuliko ISP wa kawaida.
 
Smile na 3G yao haijawa congested tu ni swala la muda... Mimi niliitest for 2 years every month kwa site zao 37 mikoa tofauti nikiwa user pekeyangu na nilikua napata speed nzuri sana.... But ikianza kuwa na watu wengi tutarudi kulekule

hiyo mikoa unayosema ni ipi mkuu wakati nasikia bado hawajasambaa sana Tanzania?
Au wameshaanza kwenda mikoani?
 
Smile kuna wateja wanao walenga na si mtumiaji wa kawaida kama mimi na wewe hebu fikiri 200GB kwa 1.4 million.

Mweee kwa kweli kuna kampuni zinatakiwa kufutwa kabisa its too expensive. Mimi natumia telstra internet 500Gb kwa mwezi ni dola 100 tu, sasa hao wezi wakubwa
 
hiyo mikoa unayosema ni ipi mkuu wakati nasikia bado hawajasambaa sana Tanzania?
Au wameshaanza kwenda mikoani?
sorry nilikua nataka kumaanisha SMART mkuu
nilimix majina kati ya smile na smart and by the way smile wanatumia technology ya 4G

thanks kwa ku quote uzi huu sikuona hilo kosa kabla
 
Back
Top Bottom