Hii ndio Smile Internet

Hii ndio Smile Internet

wanaumwa hao hizo bundles wawa uzie hao hao washamba
 
am using SMILE they are superb

ni noma, yaani 500MB kwa Tshs10500/= , ingawa speed ni uhakika lakini sio kwaajili ya watu kama mimi

Kufuru niliyoiona ni hiyo ya Ku limit speed to 1Mbps-21Mbps sasa hii 4G ya nini wakati hata Tigo na Airtel wana 42Mbps speed...

Mimi nafikiri huo utakua ushamba yaani ninue Bundle la Smile la hela yoyote be it 10500 au 1.4M afu eti ni set speed Limit huo si utakua ujinga...kuna maana gani ya kutumia SMILE tena?
Si bora ninunue vifurushi vya Airtel au Tigo au hata Vodacom...

Nachokiamini mm hawa SMILE wanatuibia tu hela kabisa kwanza MODEM na ROUTERS zao ni wizi mtupu...kwa nini hawakutengeneza Devices za HUAWEI kama T-Mobile na makampuni mengine ya 4G ambapo Smile modem yao ikikushinda ya 120 una unlock unatumia na Mitandao mengine

WEZI WAKUBWA SANA HAWA

Dawa yao nyingine ni Vodacom na SMART wakiachia 4G yao utaona kama bei zao zitabaki hivo hivo wezi wakubwa hao
 
hadi sasa kwenye link yangu inaonyesha nshatumia 1TB ndani ya five months.. ina maana ningekua na hawa jamaa ningekua nshaoiwa zaidi ya six million... Wafunge tu mtandao hizo data za ajabu sana
 
Da hii dhambi kwa mungu milion moja na nusu kwa internet hiv ni nchi gani home user wanatoa dola 1000 na nusu kwa ajili ya net afadhali ingekuwa full package yaani kwa hela hiyo unapata unlimited internet,iptv una stream channels tena 1080p na wanakufungia dish channels zaid ya elfu moja tena zote hd na bado hiyo hela kubwa ulaya wana hizi package hazifiki hata dola elfu moja wabongo sijui tuna matatizo gan na kuna watu wanlipia kabisa hiyo hela marekani wana kampuni kama dstv inaitwa direct tv kwa mwezi package ya premium yaan unapata internet ya kasi una stream movies channels zaidi ya 300 nyingi hd una lipa dola 92 kwa mwezi ndo maana tunaonekana wajinga mtu mwenye akili timamu huwezi kuumizwa kihivi
 
Unafananisha technology tofauti, broadband na 4g, broadband is cheap in any country. And that was TTCL window to outperform everyone... 4g is newer, wireless and expensive in any country.
Umetumia USA, I'll use the same example but with a 4g LTE provider, AT&T gives u 6GB for $80, u can have a shared plan ya 50gb na calls and text for $375. If you do the math smile is cheaper in that aspect compared to service that use the same technology.

EDIT: and for every extra 1gb u pay $10(on prepaid). I just don't get people complaining about SMILE wakati ni pricig trend ya dunia nzima for the technology... Just deal with it.
 
ni noma, yaani 500MB kwa Tshs10500/= , ingawa speed ni uhakika lakini sio kwaajili ya watu kama mimi

Nisaidie APN ya smile kama unatumia mkuu...
Modem yao kwangu imekataa kudetect ina wiki sasa ila nina Huawei Modem ambayo nikiweka inadetect line yao ila niki connect kwa APN ambayo nimeset "smilecomms" inakataa ku-connect

:help:
 
Humu ndani people are just talking, no one ana concrete example ya provider wa 4g LTE who charges less than what SMILE does. Until that happens it's just fact-less rumblings.
 
unafananisha technology tofauti, broadband na 4g, broadband is cheap in any country. And that was ttcl window to outperform everyone... 4g is newer, wireless and expensive in any country.
Umetumia usa, i'll use the same example but with a 4g lte provider, at&t gives u 6gb for $80, u can have a shared plan ya 50gb na calls and text for $375. If you do the math smile is cheaper in that aspect compared to service that use the same technology.

Edit: And for every extra 1gb u pay $10(on prepaid). I just don't get people complaining about smile wakati ni pricig trend ya dunia nzima for the technology... Just deal with it.

mkuu sijajua wewe ni mfanyakazi au mteja wao huwezi linganisha masoko ya ulaya na africa wenzetu hela yao ina thamani si majanga kwa wenzetu hiyo dola 80 ni ndogo sana tofauti na kwetu kwanini uanzishe kitu ambacho kinawagawa maskini na tajiri yaan 500mb buku 10 3g ya voda tigo zntel airtel inatosha sana kama unalipiwa hiyo 4glte kazini mkuu endelea ku enjoy kama unalipa hela yako mwenyewe hiyo kufuru moja mbaya sana yaan dhambi kwa mungu kama eneo lako zantel ipo poa unga ya kwao ya laki 3 sidhani kama unatumia 4g kwa ajili ya ku surf tu ili uinjoy 4g lazima uunge bundle ya 100gb au ya 200gb si dhan smile wanawateja zaidi ya 100
 
Teknologia haina ulaya wala africa, au sikuhizi makampuni yana bei za ulaya na africa? It is the same technology and it will cost nearly the same everywhere.
And don't be too quick na "sidhani" zako, and who are you to say kipi ni dhambi na kipi sio? Waambie Zantel or whoever your provider is kuleta 4g so that they can bring competition and maybe prices will go down. Oopss I forgot zantel is like multiple times slower... Tafuta point urudi. And everything is worth what one is willing to pay for.
 
Naitumia Mi Fi yao iko poa sana speeed hizi series hata huwa nikiweka nikienda oga narudi tayari.
Waliweka kama unazo nunua kama huna endelea na tigo, voda, aitel, ttcl
 
ILI MTU AFURAHIE 4G TO THE FULLEST UNUNU BUNDLE YA 100 GB AU 200GB SASA KAMA UNALIPA MILION MOJA NA NUSU KWA NINI USIPATE UNLIMITED INTERNET NDO MAANA WATU WANESEMA HAWA WEZI MKUU WATU WANAOFUNGA 4G NI WAFANYABIASHARA AU WAFANYAKAZI AMBAO KWENYE CONTRACT ZAO WANALIPIWA INTERNET HUWEZI KUWA FANYAKAZI WA KAWAIDA UNALIPIA KIASI CHOTE HICHO HATA KAMA KWA MWEZI UNALIPWA M 3 KAMA ALIVYOSEMA MKUU HAPO andybird314 KAMA UNAZO LIPIA KAMA HUNA BAKI KWENYE MAKAMPUNI YA TIGO AU VODA ,AIRTEL ZANTEL TTCL
 
Kama unatumia 200gb kwa mwezi get broadband with unlimited plan. Even on cable with unlimited plan 200gb is possible but probably if huna kazi ya kufanya u just stay at home.
And mfano wako wa businesses to justify 200gb is wrong, if office etiquette is observed 200gb will last a business many months, what do they do with it? Emails na nini kingine?
 
Da hii dhambi kwa mungu milion moja na nusu kwa internet hiv ni nchi gani home user wanatoa dola 1000 na nusu kwa ajili ya net afadhali ingekuwa full package yaani kwa hela hiyo unapata unlimited internet,iptv una stream channels tena 1080p na wanakufungia dish channels zaid ya elfu moja tena zote hd na bado hiyo hela kubwa ulaya wana hizi package hazifiki hata dola elfu moja wabongo sijui tuna matatizo gan na kuna watu wanlipia kabisa hiyo hela marekani wana kampuni kama dstv inaitwa direct tv kwa mwezi package ya premium yaan unapata internet ya kasi una stream movies channels zaidi ya 300 nyingi hd una lipa dola 92 kwa mwezi ndo maana tunaonekana wajinga mtu mwenye akili timamu huwezi kuumizwa kihivi
Well said Mkuu..Jamaa pum'bav sana
 
Unafananisha technology tofauti, broadband na 4g, broadband is cheap in any country. And that was TTCL window to outperform everyone... 4g is newer, wireless and expensive in any country.
Umetumia USA, I'll use the same example but with a 4g LTE provider, AT&T gives u 6GB for $80, u can have a shared plan ya 50gb na calls and text for $375. If you do the math smile is cheaper in that aspect compared to service that use the same technology.

EDIT: and for every extra 1gb u pay $10(on prepaid). I just don't get people complaining about SMILE wakati ni pricig trend ya dunia nzima for the technology... Just deal with it.

Hapo kwenye red naweza kusema ni same technology ya 4G lakini 4G kama 4G ina categories zake
Navyojua SMILE wanatumia LTE FDD 800MHz na ni Category 3(CAT3) wakati kuna makampuni mengine yame employ LTE ya TDD 2300/2600 MHz ambayo ni CAT4 na mengine yame employ mpaka CAT5,sasa nafikiri makampuni yote ni 4G lakini lazima ujue kwamba yana-employ 4G katika Category,Bands na Frequency tofauti tofauti na bila shaka bei haiwezi kua moja by the fact that 4G is divided as pointed out above

Nikufuru siku zote kulinganisha US na Bongo...Jiulize Coca cola uko kwao wanauza bei gani na hapa kwetu ikoje?
I guess the same will apply on internet also regrdless of AT&T using a different 4G technology from that of Smile
Kumbe basi ni bora kufananisha 4G ya Vodacom south Africa au 4G ya MTN UG amabazo bado naona ziko juu ya smile in terms of technology used...

Ukweli utabaki kwamba hawa Smile ni wezi tu kuanzia Bundle zao na Modem/router zao tu
Ningewaona wamaana wangetumia devices za Huawei na ZTE au Alcatel ambazo unaweza pata mpaka Universal modems/routers naku-switch kutoka network moja kuja nyingine as the fact kwamba soon Vodacom nao walivyotangaza watafanya roll out nakuleta 4G hivo unakua na uhuru waku-switch in either way around

wisho kabisa,Smile nimetumia ila speed yao ya ku-download haikuni-impress sana nilikua napata 2.5MB/sec n kushuka chini abayo same speed napata na #DC_HSPA + ya Airtel rated at 42Mbps zaidi katika Uploading files ndo naona tofauti ila nikitumia Google maps na Youtube streaming sikuona tofauti mara zote,if there difference existed in all my test is a slight diffrence

Category 3 ya 4G ni LTE FDD 800/1800/2600Mhz ambako highest frequency ni 2600Mhz na lowest ni 800
Smile wanatumia 800Mhz I really doubt this issue and I guess it must be having effect in regard to perfomance,labda mtu anieleweshe kidogo hapo umuhimu wa hzi frequency
 
Back
Top Bottom