Hii ndio siri ya kila kitu 'the secret'

Hii ndio siri ya kila kitu 'the secret'

Uzi unaoleta mjadala wa migongano ya kifikra unajenga, just imagine huu uzi ni wa 2014, but content is still very fresh and relevant.
 
Law of attraction , it is works out

Control your thought because your thought always become thing.
 
Hii ni kweli kabisa. trust me i've lived this secret.., works all the time.., mpaka watu wananiitaga mchawi. ila na wewe kwanini umewaambia siri yetu bwana..
Daah, hii comment yangu from 10years ago imenilipua moyo, daaah!!
 
The power of postive thinking by dr Norman Vicent Piel...
Kifupi things come in pairs good for evil, mchana na usiku, kulia na kushoyo nk
Hata mawazo ndivyo yalivyo. Kuna kufikiri vizuri na kufikiri vibaya.
Ukifikiri vizuri utapata matokeo chanya. Na ukifikiri vibaya utapata matokea hasi. Ndivyo ilivyo kwa hizi pair.
 
Back
Top Bottom