Duh unakumbuka mechi kati ya Pamba ya Mwanza wana Kawekamo na Mukula Victorias ya Rwanda? Acha wewe! Wale watoto chini ya Kocha Pius Nyamko(RIP) ilikuwa balaa!
ah?
Mimi dogo tu mwana, huyo Chilambo namkumbuka game ya fainali kombe la Muungano kati ya Yanga na Simba @Amman Zanzibar, nikiwa mdogo sana, ilikuwa game ya kwanza kuchezwa usiku hapa kwetu.
Jamaa alisema kuwa uwanjani kuna mwanga kiasi kuwa hata sindano ikidondoka unaiona.
It was awesome!
Judgement nakuomba radhi kwa kukupa maneno ya ukweli kwenye watu wengi ingawa ukweli unaujua...Pamoja na kukutaka radhi pia napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha msimbazi....52 ! Hebu ntake razi kabla ya kesho 6 na dkk 1 usiku la la sivyo Mwanasheria wangu Mabere (Maziwa) Marando (Majani ya viazi) atakutembelea.
Judgement nakuomba radhi kwa kukupa maneno ya ukweli kwenye watu wengi ingawa ukweli unaujua...Pamoja na kukutaka radhi pia napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha msimbazi....
kwani kuna mahali wachovu wanajosekanaga?hivi kuna watu wanaishabikia Yanga?
kwani kuna mahali wachovu wanajosekanaga?
ah?
Mimi dogo tu mwana, huyo Chilambo namkumbuka game ya fainali kombe la Muungano kati ya Yanga na Simba @Amman Zanzibar, nikiwa mdogo sana, ilikuwa game ya kwanza kuchezwa usiku hapa kwetu.
Jamaa alisema kuwa uwanjani kuna mwanga kiasi kuwa hata sindano ikidondoka unaiona.
It was awesome!
bita john,George Lucas(gaza)Madaraka Suleiman..!!
Yes! Papaa George Magere Masatu akikamata mkoba!! mwameja golini! kiungo hussein Aman Masha! Kule mbele sasaaaa! Noumaaaaa!