Hii ndio simba!

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
Hii ndio Simba niliyoanza kuifahamu na kuishabikia,sio ya sas!!!!!!
1;Mohamed Mwameja
2;Often Martin
3;Kasongo Athuman
4;Mtwa Kihwelo
5;Deo Mkuki
6;Twaha Hamidu
7;Mustafa Hoza
8;Fikiri Magoso
9;Godwin Aswile
10;Hussein Marsha
11;Edward Chumila
......
 
Mi labda niwape ushauri wa bure, wapenzi wa Simba.
Simba naowajua mie wale wa Seronera mikia yao imekaa kwa nyuma, na nyie Simba wa town mikia yenu imekaa kwa mbele.
Nawashauri m'badili jina la timu haraka.
Mi ni Mjangwani .
 
Teh Juzi nilipita jangwani nkakuta wana Yanga wamejazana nkamuuliza drever kuna nini akanambia eti wamekunywa kahawa wanamngoja Manji aje alipe...teh njaaa kali jangwani...
Karibuni Msimbazi
 
Teh Juzi nilipita jangwani nkakuta wana Yanga wamejazana nkamuuliza drever kuna nini akanambia eti wamekunywa kahawa wanamngoja Manji aje alipe...teh njaaa kali jangwani...
Karibuni Msimbazi

52 ! Hebu ntake razi kabla ya kesho 6 na dkk 1 usiku la la sivyo Mwanasheria wangu Mabere (Maziwa) Marando (Majani ya viazi) atakutembelea.
 
Machepe! Najua mmemsahau! Unakumbuka Machepe anaichepea yanga? Ni marehemu sasa na jumuiya ya soka haimkumbuki! Very sad!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom