duh! hivi huu muungano umeshikwa na watanganyika tu? wamelazimishwa? znz kuna kivutio gani cha kitalii kinachoitangaza tanzania worldwide?
Wewe simzima!
Ungekua karibu ningekunusa mdomo!
...
Zanzibar ni ndogo but inavivutio vingi sana kwa watalii!
Beaches: eg: kiwengwa, paje, mangapwani, uroa nk!
Haimanishi Tanganyika hakuna, but swali la kujiuliza hizo beaches zinatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Jonzani and ngezi: ni vijimsitu vidogo tu but vinawatalii wengi!
Hata ngedere wa jonzani wanamjua mtalii na kumkimbia hata akiwa mweusi!
just jiulize hao masimba wenu wanawakimbilia watalii?
...
Hotel zenye vivutio na usalama wa kutosha!
Nungwi ni kajimji kadogo but kina hoteli nyingi kuliko nyumba za kuishi!
Ninyi watalii mnawaibia!
...
Mji mkongwe! Hapa ata siongei!
...
Maji safi na bure!
...
Miji ya kihistoria na arts: eg: Makunduchi, kizimkazi, paje, bungi miembe mingi etc!
Sikama nanyi hamna hiyo miji but inatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Subiri kesho apo tuone hatma ya rasimu!