DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
Jamaa kanisani yupo karibu na mrembo:
Jamaa: Dada mi nakupenda sana
Mrembo:Kaka naomba tumsikilize mchungaji
Jamaa: Nipe nafasi uwe mtawala wa serikali ya moyo wangu
Mrembo: Kaka niache nisali
Jamaa: Mi nakupenda sana kuliko hata maisha yangua
Mrembo: Kwa hasira akasema kwa nguvu, "nimesema niache".
Watu wote kanisani wakageuka kuwaangalia. Jamaa naye akasema kwa sauti ya juu zaidi, "sikuachi mpaka ukubali kuwa Yesu ni Bwana Mwokozi wa maisha yako!!"
Watu wote: Ameeen!, usicheke..., hiyo imetokea.