Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Kama umoja huu ni wa kweli, na tamaa za madaraka zikawekwa pembeni basi CCM wana wakati mgumu sana.
Bila shaka CCM wanatafuta mbinu mbadala ya kuuvunja muungano huu haraka sana na bila shaka watatumia watu ama viongozi ndani ya UKAWA kuvuruga na kuuvunja umoja huo.
Pesa ilimuuza Yesu, CCM wana pesa ya kutisha, ninapata mashaka kama umoja huu utadumu kwa muda mrefu. Kila binadamu ana bei yake, viongozi wa UKAWA wakifika bei watauvuruga umoja huo.