Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
ukiibadilisha kwa tsh ni kias gan ichoHabari zenu wadau,
Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.
View attachment 504315
Namkubali sana Mugabe!Hayo ni matokeo ya kupambana na Wazungu bila kujipanga vizuri huku ukiwahadaa Wananchi kuwa wewe ni Mzalendo.
Ndio kiasi gani hiki...Sio kubwa sana
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..Habari zenu wadau,
Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.
View attachment 504315
Buku ya tzukiibadilisha kwa tsh ni kias gan icho
mkuu hiyo ni zimbabwean dollar, sio US dollar. kama ilivyo kwa tanzanian shilling na kenyan shilling.Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..
Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
duuuu hatal ni sawa na shi ngap hapa kwetu mkuu
ni sawa na tsh 850. yaani hata vocha ya kuunga bando la chuo hupati kwa hela hiyo.Ndio kiasi gani hiki...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Buku ya tz
Mkuu, kwani pesa ya Namibia inaitwaje ?Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..
Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
Kaka uliza tu kama hujui, Zimbabwe pesa yao inaitwa dollar na Namibia pia pesa yao inatwa dollar, tofauti hapo iko katika kuitamka unatanguliza jina la nchi husika kwanza, mfano ni-Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..
Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
Tshs 850ukiibadilisha kwa tsh ni kias gan icho
Waafrika sijui kwanin tunawapatikia wazungu.Mugabe angeshirikiana na Africa na Asia asingefika huko .wamerekani na wazungu ni wapuuzi sana wanatakiwa wapewe somo kwani ukigusa maslahi yao watakuwekea viZingiti.mataifa kama China,waarabu na waafrica mnaweza Fanya biashara na wazimbabweHayo ni matokeo ya kupambana na Wazungu bila kujipanga vizuri huku ukiwahadaa Wananchi kuwa wewe ni Mzalendo.