The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Nitaanza na wewe mkuu nione kama hiyo njia kweli haifai nilete mrejesho hapa jukwaani.Utapoteza hela zako nyingi sana
Tafuta njia nyingine.
mwenyewe unariiiiinga kuwa mwanamke, sisi kula kwa jasho ni maandiko kwa hiyo pesa mtakula ila na nyie ke lazima mliwe.!Hela zenyew wanazo Sasa🤣🤣🤣🤣
Njia ya kitoto sana hii,utapoteza kwani hela pekee siyo kila kitu, unaweza kutoa hiyo hela na akaenda kumpa kudume mwingine anayempenda yeye. Kuwa smart dogoWakuu kwema,
Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano.
Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo jitahidi saana kipindi cha mwanzo uwe una mjali sana yaani uwe unampa pesa na mda wako hili ni muhimu sana, na vizawadi vidogo vidogo na outing moja moja, fanya hivi kwa mda wa mwezi mmoja au miwili tuu alafu acha kumpa.
Kwa nini mwanamke anavutiwa na anachokiona. Ila baada ya mda kama miezi miwili kausha usiwe unampa tena hela. Unakua unampiga tuu kiswahili, hapa ndo ataanza kuteseka yeye.
Sawa tu hatujakataa😂😂mwenyewe unariiiiinga kuwa mwanamke, sisi kula kwa jasho ni maandiko kwa hiyo pesa mtakula ila na nyie ke lazima mliwe.!
....basi tu kati ya viumbe hai binadamu ndo tunafanyiwa sana compication kwenye mibususu na hii ni sababu ya nguo... wanyama wengine hata hawakumbani na haya katika kuujaza ulimwengu. watetea wabinadamu ni wasumbufu sana.Sawa tu hatujakataa😂😂
Kwaiyo tungekuwa hatuvai mambo yangekuwa sio mengi namna hii si ndio??....basi tu kati ya viumbe hai binadamu ndo tunafanyiwa sana compication kwenye mibususu na hii ni sababu ya nguo... wanyama wengine hata hawakumbani na haya katika kuujaza ulimwengu. watetea wabinadamu ni wasumbufu sana.
Kwa wale wenye nyota shingoni, vikuku miguuni na mikicha ya jini utamaliza hela zote kwenye zawadiUtapoteza hela zako nyingi sana
Tafuta njia nyingine.
Bold hii.Kwaiyo tungekuwa hatuvai mambo yangekuwa sio mengi namna hii si ndio??
😂Mm nisingetoka ndani tungekuwa tunatembea uchiBold hii.
A.K.A Kunahela naisikilizia [emoji23]Mkuu umesoma chuo gani cha mapenzi
Mi nimesoma true love university of kudanganyana