HII NDIO NINI MAANA YAKe?

Ni kuonyesha vile tunavyojisifia kuchepuka na kana kwamba its a very good thing that we have to come up with means a procedures to perfect the act of kuchepuka.
 
Mke kakinunua, mume naye kanunua (wote ni wasomaji), vipi hapo (with the same knowledge) hawatokamatana kweli!!

Najaribu kuwaza tu!! Nilidhani muandishi angeandika viwili (kimoja kwa wake na kingine kwa waume)
 
mkuu nimewaza pi kama si hivi kitakua hakijasaidia
 
Jaman fanyeni faster kugawa nakala hzo kwan n muhumu sn kwa ss wengne kupata maujuzi hayo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…