Ni kweli kbs akiAchana na kitu UPENDO, upendo wa kweli ni ngumu sana kuupata na kama ukibahatika basi mshukuru Mungu!!
Aki uko poa wewe?!Ni kweli kbs aki
Niko poa akiAki uko poa wewe?!
Hope ushawahi pata upendo wa kweli
Had kipindi hiki cha Magu bado upo Upendo wa kweli ?Achana na kitu UPENDO, upendo wa kweli ni ngumu sana kuupata na kama ukibahatika basi mshukuru Mungu!!
Upo sana tuu aki, sema namna ya kuupata ndo changamotoHad kipindi hiki cha Magu bado upo Upendo wa kweli ?
Kuupata kwake lazima maombi na mfungo vihusikeUpo sana tuu aki, sema namna ya kuupata ndo changamoto
KabisaaaKuupata kwake lazima maombi na mfungo vihusike
Basi nitakua sijawahi kupendwa au kupenda .
Ila sitokaa nijigeuza kua mshumaa yaan naunguaa naishiliaaa ,nikijipa moyo karibu kupambazuke hahaahhahah iyo nawaachia nyie Mkuu !!
Ivi unajua kuvumilia tatizo kwa muda mrefuuuu ,hubadilika kua sumu namatokeo yake nieither umdhuru mtu au ujidhuru mwenyewe??
Ndio mapenzi ya nguvu ila
Fahamu sometime letting go...is the best way to goooo.... Usiishi ktk mahusiano kivuli, usiishi ktk mahusiano unayojua hamna kitu hapa nimaumiv ,utapoteza muda,nguvu, pesa ,eti tu kwa hisia siku moja atabadilika akupende hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...
Kama kweli vile nyiye ndio huwa mnasumbua sana kwenye mahusiano