Hii ndio New World Order

Asante kwa very good information
 
HHakuna
Kiukweli mkuu! Hakuna kilichobadilika wala kuzidi. Tangu enzi ushoga ulikuwepo, wafuraji walikuwepo hata vitabu vya DINI vinataja mambo haya ILA kwangu mimi utofauti ninaouna ni kuwepo KWA mabadiliko ya kiteknolojia si kweli zamani haya mambo hayakuwepo ni vile saiv kupata taarifa ni rahisi tofauti na zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…